Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Mtume mnyakusya,wacha ncheke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli ni ipi jomba..lete madiniUmepotoka wala kweli haimo ndani yako
Kwahyo mitume ni waha peke yao?Kweli ni ipi jomba..lete madini
Ana watoto?Alianza uinjilist wa kukaa na kuhubiri barabarani Mke wake akawa anaona aibu akasema tutafute kazi akasema hayupo tayari Mke wake akamtosa naye akajiwekea nadhiri kuwa hatuaacha kumtumikia Mungu hadi Ajue Mungu huyu ni nani ndiyo akampa hicho kipawa Chake..
I do not know lakini I think hadi leo hana Mke tena hata yule alipotaka kumrudi alikataaa.. A little I know though sina uhakika ready to be corrected
Kwa kweli hatuoni akiombea watu wajazwe Roho Mtakatifu.Ni lini alirudia hayo ya kupaka tope? Kwamba ikawa ni utaratibu wa "kupaka tope" watu Ili wapone! He did it once.
Kingine injili ya Yesu ilikua ya watu kwenda mbinguni sio ya watu kupata mafanikio ya kimwili. Alitubisha watu waache dhambi, alibatiza n.k ila huyo Mwamposa ni lini kabatiza? Ni lini amejaza watu Roho Mtakatifu? Ni lini kamuambia mtu akiponywa asifanye dhambi Tena kama alivyokua anasema Yesu?!
Then acheni kumfananisha Mwamposa na Yesu maana Kila mtu akikosoa huduma yake mnakimbilia "Hata Yesu"..... As if Yesu alikua anaombea watu wapate magari na utajiri!!
Huyu Nabii hadi kukubaliwa kufanya mkesha Benjamini Mkapa.. haki he has something in him God Bless him big time
Kwa uzoefu na mtazamo wako, unamuona ana uhalisia kwa anachofanya au ni mwendelezo wa kuzitafuta pesa?Nimesoma nae Tosamaganga, alikuwa na akili sana[emoji16],hasa kwenye utafutaji p3sa
Tuhuma zilikuwa za kweli au ulibambikiwa?Hata mie nilitoka kifungoni na tuhuma zangu kufutwa baada ya maombi na kujipaka mafuta ya mtume wa Mungu Boniface Mwamposa.
Aisifuye mvua imemnyea
Mkuu, Mbona hivyo ni baadhi tu ya vitu vilivyotumiwa na waasisi wa Kanisa?Kwanini atumie maji na mafuta?. Kwanini asikemee pepo kwa jina la Yesu Kristo. Paulo akasema alitokea mtu anahubiri injili tofauti na hii msimsikilize.
Simfatilii sana anafanya nini kwasasa,, ila mtu akitaka kujua ni simple tu,, peleka mlemavu wa mguu halisi, akitembea, then jibu litaonekana🤷🏽♂️Kwa uzoefu na mtazamo wako, unamuona ana uhalisia kwa anachofanya au ni mwendelezo wa kuzitafuta pesa?
Kazi ya Yuda iskariote ilikua ni kitunza mfuko wa fedha..manake hata kristo alihitaji fedha katika utume wake..tena miaka hiyo ya kupanda punda..je iweje kipindi cha sasa.?Yuda alikuwa anatunza pesa za Yesu?
Interesting....naomba kufahamu zaidi
Another brainwashed..kaa tulia ulitaka watume watoke mashariki ya kati ndio uwamini..hujui sasa kila aaminiye ataitwa mwana wa ufalme hata atokee kwenu namtumbo.Mtume mnyakusya,wacha ncheke
Yesu hakuwa na kazi,, hela alitoa wapi?Kazi ya Yuda iskariote ilikua ni kitunza mfuko wa fedha..manake hata kristo alihitaji fedha katika utume wake..tena miaka hiyo ya kupanda punda..je iweje kipindi cha sasa.?
#MaendeleoHayanaChama
Unauhakika hakuwa na kazi hujuia alikua mwana wa selemara aliyefanya kazi ya uselemara..hujui wanafunzi wake walikua wavuvi wa samaki.?Yesu hakuwa na kazi,, hela alitoa wapi?
Acha kudanganywa watu..roho anakusaidia kushinda dhambi ili kuokoa roho dhidi ya umauti wa milele wala sio njaa na magonjwa ya duniani.Kwa kweli hatuoni akiombea watu wajazwe Roho Mtakatifu.
Roho Mtakatifu aliwa NDANI ya MTU dhambi na magonjwa yanatoweka.
Uenda uko sahihi,lakini huwezi kufafanua vizuri,hebu jipange alafu tufafanulie vizuri,kidogo nijuavyo ni kuwa miujiza ya Mungu siyo ya kujirudia kwa njia moja kila siku(siyo ya kukariri),kwa hiyo hujui Mungu atatumia njia gani kumfungua mtu,siyo kila siku maji na mafuta no.Wako kinyume na neno la Mungu (biblia) hakuna sehemu yeyote Ile kwenye biblia mafuta ya upako, maji ya upako n.k yalikua huduma
Kwani Mungu akitumia njia hiyohiyo kila siku na watu wakawa wanafunguliwa atakuwa huyo Mungu katenda dhambi gani?Uenda uko sahihi,lakini huwezi kufafanua vizuri,hebu jipange alafu tufafanulie vizuri,kidogo nijuavyo ni kuwa miujiza ya Mungu siyo ya kujirudia kwa njia moja kila siku(siyo ya kukariri),kwa hiyo hujui Mungu atatumia njia gani kumfungua mtu,siyo kila siku maji na mafuta no.
Hakuna huduma ya zana za upako kwenye biblia, kutegemea maji ya upako, chumvi ya upako au mafuta ya upako badala ya damu ya YESU huna tofauti na mtu anayeabudu sanamuUenda uko sahihi,lakini huwezi kufafanua vizuri,hebu jipange alafu tufafanulie vizuri,kidogo nijuavyo ni kuwa miujiza ya Mungu siyo ya kujirudia kwa njia moja kila siku(siyo ya kukariri),kwa hiyo hujui Mungu atatumia njia gani kumfungua mtu,siyo kila siku maji na mafuta no.