Mwenye historia ya Nabii Mwamposa kabla ya kuanza huduma yake

Acha kupotosha mzee kila akimaliza mahubiri huita watu waokoke na kunawachungaji wanaolea wakristo wapya pale na ubatizo upo fatilia kwa undani nasio juu juu
 
Kwani Mungu akitumia njia hiyohiyo kila siku na watu wakawa wanafunguliwa atakuwa huyo Mungu katenda dhambi gani?

Kuna upande Mungu kuwa yeye ni yuleyule jana leo na hata milele
Unajua sababu ya Mungu kutoa damu ya YESU kupitia YESU kristo usingeongea haya unayoongea
 
Dahh hawa manabii hadi wenyewe Kwa wenyewe wanapigana majungu, nipo nyumbani hapa natazama kipindi cha chomoza

Waliunganisha Kanisani kwenye ibada,Kuna Nabii anaitwa Philbert Paschal, na somo alilokuwa anahubiri siku ya leo ni "MAARIFA" baada ya kuona neno maarifa nikasema ngoja niweke Kambi nisikie atahubiri vipi kuhusu Maarifa

Kama kawaida Kwenye Bible kuna andiko linasema Watu wangu wanaangamia Kwa kukosa maarifa, ehhh nikasema hapa hapa ngoja nikae vizuri

Ohhhh si akaanza yani unaenda kanisani unaambiwa sasa hivi tunaanza kombea wachawi wanaotembea mguu mmoja, unaambiwa sasa tunaanza kutoa Nyoka, unaambiwa uombewe Kwa sababu umefungwa na uchawi

Omba Mungu Kwa Akili sio kila kila siku unaomba Kwa roho, jtatu,jnne,jtano, Alhamisi,ijumaa,jmosi we unaomba tu kwa roho, aisee utakuwa ni Yule Mungu aliesema unaangamia kwa kukosa maarifa

Jiombee mwenyewe upate Akili jiombee mwenyewe upate maarifa maana ukipata maarifa huwezi kudanganywa hovyo hovyo,ukipata maarifa huwezi kutumika hovyo hovyo

Alafu baada ya kipindi kuisha yakaanza matangazo ya watu wanaotoa ushuuda tena kama tu vile inavokuwa Kwa Mwamposa, mara mtu aliombewa akapata kazi,mara mtu aliombewa akapata watoto, chini anapitisha namba ya kutuma sadaka ukiguswa na mahubiri yake

Ukiangalia lengo la wanaojiita manabii wote ni kama vile wanafanana tu, sasa wanaenda mbali hadi kuanza kupigana majungu wakiwa Live katika ibada, maana ni wazi kuwa prophet Philbert paschal alikuwa anamuongelea Mwamposa kuwa waumini wake wanaangamia Kwa kukosa maarifa

Kama Akili yako itakuwa huru, mawazo yako yatakuwa huru, basi ukimskiliza huyu Dk Ellie wa kipindi cha chomoza Clouds atakusaidia kubadirisha mtazamo/uelewa wako kuhusu IMANI, maana jamaa ana madini sana na hafungamani na upande wowote
 
Alianzaga Moshi kule ndani uwanja wa Maimorial aliweka hema kubwa akawa anaunga unga mdogo mdogo kuhubiria watu sana sana kutoka vijijini...pia alikuwa na kashfa sana kula wake za watu.
Nilihama Moshi miaka mingi sasa imepita, leo nami namshangaa huu u staa wa sasa alionao kautoa wapi Mwamposa yule niliyemjua wakati ule?!.
 
Hawakuuziwa mafuta hakuna biashara hapo ni tofauti na Sasa hivi nikukumbushe Neema ya Mungu haiuwi elfu moja kupitia kichupa Cha mafuta au litres moja ya maji ya upako
 
Dk Ellie. Jamaa yupo njema sana. Anasema jitahidi kuwa thabiti.
 
Dk Ellie. Jamaa yupo njema sana. Anasema jitahidi kuwa thabiti.
Jamaa yuko vizuri sana, ukimskiliza unagundua kuwa amesoma DINI/IMANI nyingi sana duniani kwahiyo ameelimika sana tofauti na hawa ambao wenyewe wanajua kuhusu kitu kimoja tu na kukitumia kama reference ya usahihi

Hana ushamba wa hizi IMANI japokuwa yeye ni mkristo, anaheshimu sana imani za watu wengine lakini pia amesoma kuhusu Buddhism ndomana anajua Mambo ya mtu kuwa Awakening

Nilikuwa sijawahi kumfatilia kutokana na pilika pilika za utafutaji, sasa last jpil nikawa na ugeni home, kwahiyo ikabidi nirefushe kidogo muda wa kutoka home ndio nikamskia Kwa mara ya kwanza

Kuanzia hapo nikavutiwa nae na hivi sasa nimeanza kupindisha kidogo ratiba zangu siku ya jpil ili nimakilize kidogo kabla sijaondoka kujitafutia ridhki
 

Mwakipande,Mwasyakafuka,Nk
 
Tupe andiko japo moja tu ambapo Yesu Kristo ama mitume wake waliombea watu wapate utajiri wa dunia. Tuanzie hapo kwanza
Sio tu utajiri na aonyeshe andiko linaonyesha mitume waliwauzia watu mafuta ya upako, maji ya upako, chumvi ya upako, asali ya upako n.k yaani wapi waliwauzia watu Neema ya Mungu
 
Nilichogundua kinachokusumbua ni wivu..pia unasikiliza sana story za vijiweni..mimi pia nilikua na mentality kama yako..ila niliamua kufuatiria mahubiri yake..kiukweli jamaa anahubiri watu waache dhambi.

#MaendeleoHayanaChama
Mwamposa Ni tapeli ,Haendani kabisa na manabii wa kwenye BIBLIA ,
 
Kuna mafuta wananunua misri,na uchawi sehemu mbalimbali...tumewaona tangu 90' akina kakobe nk,wanakula,wanachuma Mali,muda ukifika wanakaa pembeni,wanakuja wengine
Waambie Hawa wajuzi hawajui ,Huyo mwamposa hajafikia hata nyuvu aliyokuwa nayo kakobe
 
Ni asilimia 5% ya watu wanabadilishiwa maisha wanatoa ushuhuda kwenye hizo media zake wengine wengi hawapati nafasi hiyo .ngombe wangu alipata complication ya kuzaa na
Dr anayetutibia ngombe akaagiza aje ampasue tumtoe ndama.
mimi kwa mwaposa huwa siendi anaendaga mama watoto basi akawa Yupo safari akani nikamwelezea maswahibu basi anakiambia chukua maji na mafuta ya mwamposa changanya myweshe ngombe amini usiamni alizaa bila shida within 24hrs na dr alishangaa sana.

We sali unaposali na maisha yataendelea siyo lazima umwamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…