Mwenye historia ya Nabii Mwamposa kabla ya kuanza huduma yake

Hawakuuziwa mafuta hakuna biashara hapo ni tofauti na Sasa hivi nikukumbushe Neema ya Mungu haiuwi elfu moja kupitia kichupa Cha mafuta au litres moja ya maji ya upako
Ni wapi nimeongelea kuuza na kununua?
Tunazungumzia kama matumizi ya vitu hivyo ni sahihi au la.
Na jibu ni kwamba ni sahihi kwa kuwa hata waasisi wa Kanisa walitumia
 
Na kwenye madhabahu yake akuna ubaguzi wa dini wala dhehebu yeye anahubiri neno la Mungu na ndio maana unaona wamejaa watu wa dini zote

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Leta usibitisho wewe acha kukariri

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Kabisa

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Na kwenye madhabahu yake akuna ubaguzi wa dini wala dhehebu yeye anahubiri neno la Mungu na ndio maana unaona wamejaa watu wa dini zote

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Sasa atakuwaje na ubaguzi wakati ndo wakati wake wa kutesa? Keshaua watu huko Moshi ni wakati wake kula pesa za wajinga
 
Na kwenye madhabahu yake akuna ubaguzi wa dini wala dhehebu yeye anahubiri neno la Mungu na ndio maana unaona wamejaa watu wa dini zote

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Huwa na shangaa sana hawa wahafidhina wa dini kongwe..yani wanaishi kwa kanuni za kanisa hadi wanapoteza mvuto..ibada zao zinaboa na zimeshazoeleka.

Wanapiinga miujiza wakati kristo kila alipo hubiri alitenda na miujiza pia..ili kukuza imani ya wafuasi na kuongeza hamasa ya watu kumfuata na kumsikiliza.

Acheni mwamposa apige kazi as long as anaye mhubiri ni kristo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Uvumba kwenye hekalu ulikuwa una kazi gani mkuu
 
Sasa atakuwaje na ubaguzi wakati ndo wakati wake wa kutesa? Keshaua watu huko Moshi ni wakati wake kula pesa za wajinga
Ile ilikua ajali kama ajali zingine..kwa jinsi ulivyo kosa hoja umekomalia hapo tu wala hutaki kujua ni wangapi waliokombolewa kutoka katika vifungo vyao..ni wangapi waliofutwa machozi..ni wangapi walioponywa.

Ebu tutazame na mazuri pia...tusiwe watu wa negativity tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
wachache sana watakuelewa.
 
Naona umekuja jibia tapeli mwenzako
 
Hakuna huduma ya zana za upako kwenye biblia, kutegemea maji ya upako, chumvi ya upako au mafuta ya upako badala ya damu ya YESU huna tofauti na mtu anayeabudu sanamu
hao wote ni waganga wa kienyeji,wamevaa vazi la uinjilisti.
 
Naona umekuja jibia tapeli mwenzako
Wewe wasema.

Uzuri kelele za chura hazizuii tembo kunywa maji..mwamposa anapiga kazi kwa kasi zaidi.

Endelea kuuumia..ukichoka njoo ukanyage mafuta na ule keki ya upako.

#MaendeleoHayanaChama
 
Walau umejibu alichoomba mtoa mada acha hawa wapiga kelele

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Sio kweli acheni maneno ya uongo ya vijiweni hujawahi hudhuria ibada yake na ndio maana yeye huwa anasema chukua mafuta au maji ya kawadia yanayopatikana mazingira yako na na kinachoponya sio hayo mafuta wala maji bali upako unaopatikana baada ya kuombewa kwa jina la Yesu.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Huyo ni tapeli Tu na mzinzi
 
Jaman wa tz tutajifunza lin kufocus hasa kwenye maswali tunayoulizwa. ..tazama mpaka saiz watu wameshaondoka kabisa kweny mzizi waswali. Historia ya Mwamposa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…