Mwenye historia ya Nabii Mwamposa kabla ya kuanza huduma yake

Hayo mahubiri ya uongo Ni yapi aliyahubiri mwamposa

Acha upumbavu kuwasingizia watumishi wa mungu uongo ,uzushi bila shahidi zozote

Wee tulia sss tuende huko

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
NAONGEZEA HAPO, ALIWAAMBIA WANAFUNZI WAKE "MSICHUKUE FEDHA YA MTU YEYOTE HUKO MUENDAKO(KUHUBIRI INJILI)".

ILA KUMUHUKUMU MTUMISHI WA MUNGU NAONA KAMA NI DHAMBI HIVI. REJEA KISA CHA MIRIAM NA HARUNI, WALIVYOADHIBIWA BAADA YA KUMSEMA MUSA.

TUWE MAKINI SANA NA VINYWA VYETU JUU YA HAWA WATUMISHI.
 
Nina uhakika na nilichokiandika. Huyo "Mwamposa" siyo mtumishi wa BABA MUNGU. Narudia tena kusema, "Mwamposa ni nabii wa uongo".

Kuhubiri kwa kulitaja jina la YESU, na kutumia vifungu vya Biblia na kufanya "mazingaombwe" siyo kigezo cha kuwa mtumishi wa MUNGU.

Dunia nzima imejaa manabii wa uongo, wakifundisha "udanganyifu" na kujitajirisha kwa sadaka na michango ya "wapumbavu".

UKRISTO unaohubiriwa na watu aina ya kina "Mwamposa" na makanisa makubwa kama Romani Katoliki, Lutheran church, nk wote hao na wengine ambao sijawataja wanahubiri "ukristo wa uongo".

Siku utakapoujua UKRISTO WA KWELI ni nini, hakika utapigwa na butwaa na utashangaa na kuogopa ni jinsi gani makanisa yanafundisha "udanganyifu" na kuuita "Ukristo".
 
Ukristo wa kweli? Bado upo?
 
Ndiyo, bado upo na utakuwepo mpaka siku ile atakaporudi tena MWANA WA MUNGU.

Ni kanisa dogo sana linaloshika na kuitunza IMANI YA KWELI YA KRISTO pamoja na AMRI ZOTE ZA MUNGU.

Mkuu unataka kwenda mbinguni peke yako? Hebu tuvujishie siri, ni kanisa lipi hilo ili na sisi tuhamie huko?

Masuala ya imani ni magumu sana, inawezekana hivyo hivyo unavyoamini kwamba unachokiamini ni sahihi na mwingine ndivyo anavyoamini anachokiamini ni sahihi.

Kwa kifupi tunaowaona wamepotea na wao wanatuona tumepotea.

Usikute waliosababisha haya wamekaa kando wanatucheka.
 
Marehemu babu yangu alikuwa akiniambia mara kwa mara kuwa ni heri uamini kuwa Mungu yupo halafu usimkute hukumuni kuliko kuamini kuwa Mungu hayupo halafu ukamuona hukumuni.
 
Unakijua Kiingereza vizuri? Kama unakijua basi ingia hapa, CCOG - Continuing Church of God
Kuna mengi utajifunza ikiwa tu una nia ya dhati ya kuujua UKWELI.
 
Shida anawatupia mwenyewe na anaziondoa mwenyewe. Yule ni mjasiriamali pure.....anatengeneza tatizo halafu analiondoa.

Anawatupia mapepo mkiwa kanisani kwake halafu anayaondoa mwenyewe. Wajinga ndiyo waliwao
Acha uongo wewe, watu wanaponywa halafu acha wivu
 
Tupe hints
 
Aiseeee
 
Mathayo 24:4 Yesu akajibu, akawaambia, Angalieni, mtu asiwadanganye.
5 Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi.
 
Umemaliza Kila kitu
 
Kuna jamaa alipeleka simu yake ikaombewe baada ya hapo ilianza kuingiza milioni kumi kumi kila siku na namba inayotuma haifahamu .Jamaa kajenga kanunua usafiri, Akafanikiwa kuoa mzungu kabisa. Napicha akaonesha. Watu makofi na vigelegele
Hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…