Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
Anawadangaje Brother... Kama Mtu kweli amekaa miaka kibao anabreed na breed inakataa uongo upo wapi? Kama mtu kweli alikuwa anahangaika kupata mto lakini kupitia kuongeza Imani yake na kweli amepata ujauzito uongo uko wapi?Anadanganya watanzani wenye kuamini katika miujiza SAD
Uzuri anachokisema ... Amini Tu... Yaani uponyaji wako unaanzia ndani mwako kuwa Ni amini kuwa nikiguswa na huyu Mtumishi tatizo langu limeisha Basi sasa kosa lake liko wapi..Unakumbuka Yesu mwenyewe alisema tukiwa na imani tunaweza fanya makubwa zaidi hata aliyofanya?
#MaendeleoHayanaChama
Mkuu nimekutana wa watu kweli walio kuwa wanamatatizo sugu wao wenyewe wanakiri kwa vinywa vyao kuwa hakika tumetabika ila huyu baba alivyotushika shida imeisha.Mimi nilikua simkumbali lkn baada ya kumfuatilia nilimuelewa. Mungu amjalie mtumishi wake maisha marefu. Watu wengi wanataabika na giza lakini kwa kipawa alichopewa...
Basi yule jamaa ni mshirikina kwa taarifa yako. Anapopanda gari baada ya ibada huwa anavua nguo zote na kubaki na boksa tu huku wapambe na walinzi wake wakiwa wamemzunguka.Kupanda Gari akitokea wapi? Ila kushuka huwa namuona ila kwa kuwa kunakuwa na watu wengi na ulinzi mkubwa wakiwepo Polisi, Usalama na wengine na walinzi wake huwezi ukaona kwa kuwa linakuwa ni jambo la dakika chache na anakuwa alutareni.. hata wakati wa kuondoka vivyo hivyo ni kama alivyo mdogo wako Diamond.... Sioni hilo unaweza liambatanisha na huo uhuni unao usema
Kama huna uhakika ni kitu kaa kwa kutulia.Huyu mwamba tangu alipowaweza wachaga Kule Moshi mpk wakakanyagana kwny Mafuta nilimuogopa.
Mangi waliingizwa kingi aisee
Kama sisi waumini hatumuoni wewe ambaye siyo Muumini Umemuonea wapi Kakaka....hahahahahahah hata kakobe mlisemaga ana nyoka kubwa?Basi yule jamaa ni mshirikina kwa taarifa yako. Anapopanda gari baada ya ibada huwa anavua nguo zote na kubaki na boksa tu huku wapambe na walinzi wake wakiwa wamemzunguka. Ndiyo maana ninyi waumini wake hamjawahi kumuona akipanda gari lake baada ya ibada. Uliza kila mmoja atakuambia hajawahi kumuona
Na wakati wa kushuka anapoingia ibadani huwa mikonoo yakoe inakuwa mfukoni alikoweka hirizi.
Wapo wengi sema wamechange tu stage.Hivi wale Wana mazingaubwe wameendaga wapi siku hizi mana siwaskii mitaan Wala mashuleni!
Basi yule jamaa ni mshirikina kwa taarifa yako. Anapopanda gari baada ya ibada huwa anavua nguo zote na kubaki na boksa tu huku wapambe na walinzi wake wakiwa wamemzunguka. Ndiyo maana ninyi waumini wake hamjawahi kumuona akipanda gari lake baada ya ibada. Uliza kila mmoja atakuambia hajawahi kumuona
Na wakati wa kushuka anapoingia ibadani huwa mikonoo yakoe inakuwa mfukoni alikoweka hirizi.
Kama mmeridhia kuponywa hata na shetani basi msilitaje bure jina la bwana wetu Yesu kristoLakini niseme vyovyote iwavyo kama hiyo hirizi au huko kuwa uchi ndiko kunakoleta Neema na Uponyaji kwa wenye shida sugu na kweli kila mtu mwenye shida anaponywa Basi na Mungu aendelee
Na Mwamposa anaoUshirikina Upo na Ulozi Upo
Hizo ni sanaa tu kama ilivyo futuhi. Ulimshuhudia akiblidi? Mtu anakuja kajipaka tomato sauce halafu anaombewa kimaigizo anaambiwa nenda kajioshe. Anajiosha kuondoa tomato wewe mwenzangu na mimi unaamini? Unaibiwa!Kama Mtu kweli amekaa miaka kibao anabreed na breed inakataa uongo upo wapi? Kama mtu
Ninachojua Ulozi au Uchawi hauna nia njema bali kutesa watu lakini kama huu wa huyu Mtumishi unaousema ambao umejithihisha pasipo shaka kuwa Unaponya walio na shida Basi hata Mimi nipo Tayari kuwa nao kwa kuwa hakuna anayetaka kuishi kwa kutesa wengine. Unaolewa huzai kisa mchawi kasema huwezi kuolewa kabla ya watoto wake, Umepata kazi kabla ya wanae yeye anaenda kuroga na kukufunga, mara mtu anafungwa breed hata kabla ya menopause .. Hapana... Mateso haya yakemeweNa Mwamposa anao
Shetani ana nguvu ya kuiyumbisha dunia nzima sembuse Mozambique??!Mmhh! You sure sis/bro na unachosema? Aisee ana hirizi au uchawi wa aina gani wa ku control watu mpaka huku Mozambique? Inafikirisha sana.
Samahani nimeingia Ibadani ngoja nikuombee hakika utafunguliwa leo Kuwa na Imani kama unakunywa Kvant leo utaiona Chungu...hahahHizo ni sanaa tu kama ilivyo futuhi. Ulimshuhudia akiblidi? Mtu anakuja kajipaka tomato sauce halafu anaombewa kimaigizo anaambiwa nenda kajioshe. Anajiosha kuondoa tomato wewe mwenzangu na mimi unaamini? Unaibiwa!
Shida anawatupia mwenyewe na anaziondoa mwenyewe. Yule ni mjasiriamali pure.....anatengeneza tatizo halafu analiondoa.Ninachojua Ulozi au Uchawi hauna nia njema bali kutesa watu lakini kama huu wa huyu Mtumishi unaousema ambao umejithihisha pasipo shaka kuwa Unaponya walio na shida Basi hata Mimi nipo Tayari ku
Walokore wote watakupinga isipokuwa waislam na wasabatoKipawa? Ule ni uganga tu kama uganga mwingine. Kwa wakristo Kipawa kipo ndani ya mtu sio mafuta/keki Wala kutoa fedha Ili uombewe/appointment na Mtume!!
Kweli kabisaShida anawatupia mwenyewe na anaziondoa mwenyewe. Yule ni mjasiriamali pure.....anatengeneza tatizo halafu analiondoa.
Anawatupia mapepo mkiwa kanisani kwake halafu anayaondoa mwenyewe. Wajinga ndiyo waliwao
Hapa huwa anawatafuta wadada wenye ujauzito wa wiki 3 au 4 anawapa mkwanja. Kisha wanakuja kanisani kusema uwongo kuwa hawajawahi kupata mimba kwa miaka kubao.Unaolewa huzai kisa mchawi kasema huwezi kuolewa kabla ya watoto wake, Umepata kazi kabla ya wanae yeye anaenda kuroga na kukufunga, m