Mwenye mbinu za kuacha mke anisaidie

Jifanye una matatizo,huna pesa mpeleke kwao kwamba utamfuata.Kisha badilisha vitasa na asirudi Tena.Au kama umepanga,mwachie kila kitu kaanze mbele.
 
Yaani umechakaza na umembiduabidua binti wa watu, ziwa limening’inia kama pazia ya mama ntilie ndio unataka umuache hapana sio sawa, ongea nae muelekeze sababu ni nini yawezekana wewe ndio sababu ya yeye kubadilika hasa kama ulimpa mwanga wa maisha na baadae ameishia kuona giza ni hatari sana
 
Hahahaha

Nmecheka sana

Ova
 
Mwanamke ukimuhidi usafiri ukiwa bado ndio Giza lenyewe. Maana haelewi
 
Mi naona tumshauri namna nzuri ya kukabiliana na changamoto anayo kutana nayo kwenye ndoa yake. Hakuna ndoa perfect hata moja duniani.
Yakupasa kukubali baadhi ya mapungufu ya mwenza wako na kujaribu kurekebisha Yale yanayozidi kipimo. Kila mtu anarekebishika kwa kiwango fulani cha msingi ni kujua ni kwa namna gani. Usitegemee kupata Malaika na kumbuka mtoto wako atakosa malezi ya wazazi wote wawili na Hilo ni kosa kubwa Sana.
 

Makataze aache hiyo tabia.
 
Jaribu kwanza kuzungumza naye ajue mapungufu yake ili kama wa kubadilika abadilike upate kulea mwanao.
 
Unaonekana kwa% fulani Bado unampenda..Muda ukifika..Hutokuja hapa Jukwaani tena utamaliza Mwenyewe huko huko..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…