Mwenye mbinu za kuacha mke anisaidie

Mwenye mbinu za kuacha mke anisaidie

wadau uzi huu nauleta kwenu..nataka niachane nae huyu mwanamke nlonae nltoa posa tu ya elf 50,mahari cjatoa bado alikuja kwangu mwaka 2020 akang'ang'ania mageton..akakaa miez miwil watu wakantsha ikabd nmtolee posa il kwao wajue nko nae..sasa tumebahatk kupata mtoto mmoja ila najlaumu kuzaa nae kawa jeur kburi mbishi anajbu majbu ya kikenge hata mbele ya rafk zangu..ko mnsaidie mbinu za kuachana nae ncje nkamtia kilema bure
Jifanye una matatizo,huna pesa mpeleke kwao kwamba utamfuata.Kisha badilisha vitasa na asirudi Tena.Au kama umepanga,mwachie kila kitu kaanze mbele.
 
Yaani umechakaza na umembiduabidua binti wa watu, ziwa limening’inia kama pazia ya mama ntilie ndio unataka umuache hapana sio sawa, ongea nae muelekeze sababu ni nini yawezekana wewe ndio sababu ya yeye kubadilika hasa kama ulimpa mwanga wa maisha na baadae ameishia kuona giza ni hatari sana
 
Hahahaha

Nmecheka sana

Ova
 
Mwanamke ukimuhidi usafiri ukiwa bado ndio Giza lenyewe. Maana haelewi
 
Mi naona tumshauri namna nzuri ya kukabiliana na changamoto anayo kutana nayo kwenye ndoa yake. Hakuna ndoa perfect hata moja duniani.
Yakupasa kukubali baadhi ya mapungufu ya mwenza wako na kujaribu kurekebisha Yale yanayozidi kipimo. Kila mtu anarekebishika kwa kiwango fulani cha msingi ni kujua ni kwa namna gani. Usitegemee kupata Malaika na kumbuka mtoto wako atakosa malezi ya wazazi wote wawili na Hilo ni kosa kubwa Sana.
 
wadau uzi huu nauleta kwenu..nataka niachane nae huyu mwanamke nlonae nltoa posa tu ya elf 50,mahari cjatoa bado alikuja kwangu mwaka 2020 akang'ang'ania mageton..akakaa miez miwil watu wakantsha ikabd nmtolee posa il kwao wajue nko nae..sasa tumebahatk kupata mtoto mmoja ila najlaumu kuzaa nae kawa jeur kburi mbishi anajbu majbu ya kikenge hata mbele ya rafk zangu..ko mnsaidie mbinu za kuachana nae ncje nkamtia kilema bure

Makataze aache hiyo tabia.
 
Jaribu kwanza kuzungumza naye ajue mapungufu yake ili kama wa kubadilika abadilike upate kulea mwanao.
 
Unaonekana kwa% fulani Bado unampenda..Muda ukifika..Hutokuja hapa Jukwaani tena utamaliza Mwenyewe huko huko..
 
Back
Top Bottom