Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,466
- 2,285
- Thread starter
-
- #61
Tunamuweka Mbowe. Uendelee kutesekabora tulichoka mwenyekiti huyo huyo miaka kenda rudi,tunasubiri kuona mtamuweka nani watu wa ufipa..........binafsi mm sio wa upande huoπππ...........najiandaa kuangalia hii samabsoti itaishaje basi
Kelele za uchaguzi zimeisha?Chaguaneni huko huko ila ikulu mtaisikia tu tbc sababu watanzania ndio tumeamua.
Sio kupitishwa kuchaguliwa kwa kura halali sio kama zile za Dodoma.Masahihisho:
Mwenyekiti wa kudumu bwana Mbowe atapitishwa tena kuendelea kuwa mwenyekiti wa chama tarehe 8 mwezi wa 12
Unadhani ni mwizi kama wa kwenu?anachowinda ni ruzuku.Hiyo anataka hata awe jela iwe inaingia
We kama nani, jitambulishe kwa ajili ya kumbukumbu. Ni Katibu wa ccm?Hatimaye Mbowe amesalimu amri kwa malalamiko yetu.
Mimi kama Mtanzania ninayetaka ustawi wa demokrasia nchini!We kama nani, jitambulishe kwa ajili ya kumbukumbu. Ni Katibu wa ccm?
Sasa kazi kwa CCM kutafuta mamluki wao wawapandikize chamani. wajitahidi sana kabla ya muda wa kuchukua form kuisha.
Note! Huku hakuna kukatana hovyo kwa vigezo vya kijinga. CCM nafasi yenu hii ya kumng'oa Mbowe na vibaraka wake. changamkieni fursa kabla ya muda kuisha.
Na sasa kwa anavyoionea huruma CCM, ameamua kuipasha toka 66% mpaka 98% na 2% iliyobaki atawakabidhi Oct 2020πππMbowe aliiporomosha ccm kutoka 95%- 66% mwaka 2005- 2010 ,
Mwaka 2010-2015 akaiporomosha kutoka 66%- 36%
Ccm wametapata taabu sana, tunasema deformed beyond repair
Naona ma ccm kila mkimfikiria Mbowe mnajiskia kichefu chefu cha ujauzito.
Sio ufanyike tu bali kelele zimasaidia uchaguzi ufanyike kabla Tundu Lissu hajarudi ili msaidizi wa CCM Mbowe apite bila upinzani. Tunajua lengo lenu ni kumpata mtu ambaye 2020 ataweka tena mpira kwapani kama uchaguzi huu wa SMMUDA UMEPITA Mlitakiwa muwe mumefanya uchaguzi mkuu septemba 14.Kelele zetu ndizo zimesaidia ufanyike.
Demokrasia ipi? Mbona nimepitia post zako sijaona ukipigania Uhuru sawa kwa vyama kufanya siasa za ushindani? Hujawahi kulaani kamata kamata ya viongozi wa upinzani? Bunge huru na mengine kama hayo? Au ustawi gani unauzungumzia?Mimi kama Mtanzania ninayetaka ustawi wa demokrasia nchini!