Mwenza wangu amegoma kuachana na BodaBoda wake

Dili na bodaboda,Aache mazoea na mke wako.

Akiendelea mfanyie ambushi moja matata,akasimulie bodaboda wenzake kwenye vijiwe waache kuzoea wake za watu.
 
Acha kuchanganya maisha na wewe tafuta boda boda wako utulie naye
 
“Mwanaume huwa anasema mara moja”- alisema Sadala.
 
Lazimisha safari ya siku tano funga mlango weka walinzi WAMASAI wawili waambie asiingie mtu mpaka utakapo rudi KUDADEKI
 
Ila Mambo yake ya msingi yataenda Kama anataka hio ifanya kazi
Asitishe kila kitu afu amwambie afanyiwe na boda boda wake ila hapa inahitaji Moyo mgumu sana
Mpenzi hachimbi biti, akimchimba biti ni kama anamuonea wivu, kitu kinachompa thamani mtu unaemuonea wivi,
Yani akilini mwa mwanamke ataona boda wake anathamani na anajiamini kulko yeye, katika mapenzi iki kitu kinakushushia hadhi
Ndo maana wengi mapenzi yanawashinda
 
Situation ngumu sana ila kama bado unampenda mkeo jaribu kudeal man to man face to face na huyo boda piga biti la maana.
 
Afu unakuta mtu km ww unaiponda serikal ya Ccm wakat familia yako tu inakushinda
Mke ni wako af bado unataka ushauri watu ili kuendesha familia yako
Unamlalamikia boda wakat mke wako ndo ttzo hakueshimu akupendi na alikua na ww kwa bahat mbaya tu km angelikua anakueshimu na kukupenda angefanya vle mume wake unataka ila kaona boda boda niwa maana kulko wewe
 
Mkuu hebu tufafanulie vizuri huyu boda boda anamgonga mkeo au anatumwa na mkeo kwenye mishe mishe zake?
 
Kama una hela ya kutumia miezi mitatu tu inatosha (ila uwe haujaajiriwa)

Kuwa bodaboda kwa huo muda wote na wewe uwe bodaboda wake akuagize chochote na popote utapotaka kwenda mpeleke halafu tuone Kama ataendelea kumlilia Yule bodaboda wake.

Ningekuwa Mimi ningepiga marufuku yeye kupanda bodaboda yoyote na hakuna kumuagiza bodaboda, aishi kama zama za mawe na ujima na gari Sina atembee kwa miguu popote atakoenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…