Mwenza wangu amegoma kuachana na BodaBoda wake

Sina ushauri mwingine kwa watu dhaifu kama nyie zaidi ya kukwambia Achana na uyo mwanamke
 
unashindwa nini kumuita boda na umwambie aache mazoea na mtu wako??

na km mwanamke hakusikii ni wa kazi gan sasa
 
Shida sio bodaboda, usiangalie pale ulipoanguka, angalia ulipojikwaa..
Mwanamke akiacha kazi ndio atakua free zaidi kwahiyo chumba chako ndio kitakuwa cha kufanya mambo yake na huyo bodaboda.
Kuna sababu ya huyo mwanamke ku act anavyo act, huenda unajua ila hujatuleleza chanzo cha nyie kufikia huko.
Wewe ku deal na bodaboda kutamfanya akudharau zaidi, cha kufanya wewe jaribu kumuuliza shida ni nini? Awe mkweli kama anaona hakuhitaji basi mpeane mda kidogo mrudishe kwao mpaka atakapokubali kujirekebisha na kuona umuhimu wako.
Kuwa na msimamo, samaki mkunje angali mbichi.
 
Nikajua umevirugwa kwel lakn ulivopost picha ya huyo boda boda nmeishia kucheka tuu haupo serious ungekuwa serious ungepata hasira hata ya kuiona picha yenyewe ya huyo bodaboda na huyo mdadaπŸ€ͺπŸ˜œπŸ˜πŸ˜†πŸ˜…πŸ€£
 
Kutokana na hali ya vyuma kukaza kipindi cha Jiwe ndipo nilipomruhusu kuanza kufanya kazi, Ila toka alipoanza hiyo kazi hali imezidu kuwa ya kivuruvurugu tu ndani, Confidence yake mbele yangu imeengezeka kwa zaid 100%
 
na km mwanamke hakusikii ni wa kazi gan sasa

Akilijua hili ataendelea kula maisha...

Kesi kama hio sasa mtu unakuja kuileta Jeiefu na bado unajiita Mwanaume...

Chukua Maamuzi,, Wewe ndio umeoa.
 
Kubali ya kwamba umeoa Malaya mzoefu anayekudharau na kubadilika hawezi...

Mke akishaanza kuchepuka haachi hats umsamehe vip... Mi wakwangu tunaprocess talaka sasa we komaa nae maana ndoa kuvunjika si mchezo

Dah kwahiyo mkuu wako alichepuka?
 
Kutokana na hali ya vyuma kukaza kipindi cha Jiwe ndipo nilipomruhusu kuanza kufanya kazi, Ila toka alipoanza hiyo kazi hali imezidu kuwa ya kivuruvurugu tu ndani, Confidence yake mbele yangu imeengezeka kwa zaid 100%

Relax, usimuachishe kazi... huo ni uoga wako tu...

Kama umeshindw ku deal na mkeo basi Deal na bodaboda... ukiona umeshindwa wote basi achana na huyo mke... na Usifuate ushauri wa Mabraza wa miaka 40 kuna mleta uzi mmoja alishauri hvo
 
Nikajua umevirugwa kwel lakn ulivopost picha ya huyo boda boda nmeishia kucheka tuu haupo serious ungekuwa serious ungepata hasira hata ya kuiona picha yenyewe ya huyo bodaboda na huyo mdadaπŸ€ͺπŸ˜œπŸ˜πŸ˜†πŸ˜…πŸ€£

Mkuu hiyo picha sijaieka mimi, Labda mods wameeka wao
 
Kwani huyo bodaboda anafanya nini mpaka umuogope na amani uikose?

Fuata ushauri uliopewa either umnunulie gari au wewe ununue bodaboda awe anakupigia mara nyingi akutume
 
Huyo mwenza amefikia ngazi ya mke ? Kama ni mke kuna usemi wa mke wa mtu sumu, na sifa ya sumu ni unaijua. Katimize usemi πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…