Mwenzenu nimeyatimba

Usisahau kuzingatia kunywa km ilivyoandikaa moja mara mbili na moja mara tatu unywe na maji kwa wingi utapona ukishapona nenda tena ukaingie kavukavu
 
Nahitaji nimpelekee na yeye, so nimchukuliea hiyo Nitrofurantoin na dawa gani nyingine?
Hapana yeye hawezi kupona kwa hizo dawa,

Note : maumbile ni tofauti, labda yeye kama atakuwa ana-discharge na itching sehemu za siri..


Na suggest
. Cefixime 400mg 1 * 1 * 1 /7
. Secnidazole 2 * 1 *1/7
. Azithromycin 1g start
. Clotimazole V. Pessaries insert 1 tab OD for 6/7 days

Kama atakuwa anawashwa ikulu utampa na gel ya kupaka.
 
Hahaaa tupo wengi kumbe, bora wew na binti mpya... Mimi na binti nimemzalisha na bado ana mtoto mdogo... Nashindwa hata nifanyeje sijalala siku 3 mzee
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mkuu na wewe unakojoa kwa maumivu? Pole sana. Kachukue hiyo dose.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…