Mwigulu Nchemba ang'aka kuagiza mabasi 60, asema hana biashara hata ya bajaji

Yet yeye na wengine watunga Sera wanataka kila raia / mtoto anayehitimu ajiajiri mwenyewe. !!!! Aonyeshe mfano kwanza
 
Pambana upate hela mkuu, acha wivu na mafanikio ya wenzio.
Kwani hizo kodi mnampa bure bila kufanya kazi?

Ndipo shida inapoanzia. Unapamana halafu pesa inaishia kwenye too tano huku gharama za Maisha ikipanda
 
Kila mtu ana Haki na uhuru wa kuchagua maswala yake binafsi
Ni sawa kila mtu ana haki yake ya kuchagua, lakini ktk Hali ya kawaida ya neno "uongozi,"

ni mwendawazimu tu anayeweza kuamini kuwa,

"mtu apike chakula akisifie mbele yako kuwa hiki ni kitamu halafu anakwenda kula kingine"

Haya Ndiyo yanayofanywa na viongozi wetu na wewe unakuja na miseno ya ajabu. Kumbuka huyu ni kiongozi anayepaswa kuishi kile anachokisema na kuwaaminisha wengine, vinginevyo anawafanya wanachi kama wendawazimu.
 
Ile ofisi uliyotaka kufungua Dodoma pale karibu na Butiama Hotel vipi sio yako. Acheni kuona watu wajinga
 
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amefadhaishwa kuambiwa ameagiza mabasi 60, amedai hana hata biashara bajaj. Mwigulu amesema hakuna haja ya kuchafuana.

Dokezo - Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther

=====

Mwigulu Nchemba: Imekuja tozo, mtu anasema ona waziri huyu ameagiza mabasi 60 kwenye kampuni yake, mimi sina kampuni hata ya bajaj. Hivi unaweza ukatoka chuo tu ukawa na bweni la wasichana na wavulana la kusaidia halafu uwe na kampuni ya biashara, sina biashara hata ya bajaji.

Kisa tozo, hii ni dhamana tu, hatuna haja ya kuchafuana. Unahangaika kuchafua mtu.

Kwani uongo unayo kampuni tena tatu nne hivi… Unashupaza shingo…
Kujieleza huku umejichoma msumari wa moto… umesema wanajadili pihechidii yako basi subiri… viambatanisho vinakuja
Bro kazi waachie wenye kusoma kwelikweli usitutwishe mzigo
Siku ya kulipa haya utasimama mwenyewe
Be humble tega sikio sikia kilio cha wananchi wenye nchi hivi vyeo vya muda tuuuu
 
Lisemwalo lipo, kama hajanunua hayo mabasi ila atakuwa na mahela ya kufa mtu
 
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amefadhaishwa kuambiwa ameagiza mabasi 60, amedai hana hata biashara bajaj. Mwigulu amesema hakuna haja ya kuchafuana.

Dokezo - Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther

=====

Mwigulu Nchemba: Imekuja tozo, mtu anasema ona waziri huyu ameagiza mabasi 60 kwenye kampuni yake, mimi sina kampuni hata ya bajaj. Hivi unaweza ukatoka chuo tu ukawa na bweni la wasichana na wavulana la kusaidia halafu uwe na kampuni ya biashara, sina biashara hata ya bajaji.

Kisa tozo, hii ni dhamana tu, hatuna haja ya kuchafuana. Unahangaika kuchafua mtu.

Wabongo ni wapuuzi kupita maelezo. Dawa ni moja tu, kuishi kwa nidhamu. Mambo ya kupenda kula bata wakati pesa haipo lazima watu walalamike.

Nidhamu ya maisha, kujua nini maana ya pato unalopata na kutumia kila senti kwa tahadhari.
 
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amefadhaishwa kuambiwa ameagiza mabasi 60, amedai hana hata biashara bajaj. Mwigulu amesema hakuna haja ya kuchafuana.

Dokezo - Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther

=====

Mwigulu Nchemba: Imekuja tozo, mtu anasema ona waziri huyu ameagiza mabasi 60 kwenye kampuni yake, mimi sina kampuni hata ya bajaj. Hivi unaweza ukatoka chuo tu ukawa na bweni la wasichana na wavulana la kusaidia halafu uwe na kampuni ya biashara, sina biashara hata ya bajaji.

Kisa tozo, hii ni dhamana tu, hatuna haja ya kuchafuana. Unahangaika kuchafua mtu.

Yeye kama waziri wa Fedha lazima ajue kuna mabasi 60 yameingizwa .... hakuna haja ya kumtaja mwenye mbasi walau angekubali kuwa kweli kuna mtu kaagiza hayo mabasi na kiwango cha kodi kilicholipwa.

Kwa yeye kukataa kutoa ufafanuzi basi kuna walakini ..... Hawa jamaa kwenye matumizi ni wepesi sana kusema ni kiasi gani kinatumika na asante kwa Maza ..... ila kwenye makusanyo wanafichaficha ..... hii ni kwa sababu ya makandokando yao!!
 
Back
Top Bottom