Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,219
Mwigulu na CCM walitegemea dili hili litalipa ndio maana baada ya video kutoka kina Michuzi walipongezana, lakini hadi sasa ime backfire na zaidi vijijini wengi hawajui hata maana ya neno gaidi wao wanachojua zaidi ni neno jambazi.Nani hatoki? Kama mpaka sasa bado chadema wanaendelea kushinda chaguzi ndogondogo huku mitaani basi ni wazi watu wamepuuzia mambo haya, siamini kama itafikia mahala pakubwa zaidi ya ule mkanda kutolewa hewani, anachokifanya mwigulu kupiga kelele ni ku promote mkanda wake na dhahiri ni out of frustruation, matarajio makubwa mavuno madogo, Chadema sio Cuf, NO RETREAT NO SURRENDER!!
magaidi ni nyie wenye jeshi la polisi pamoja na usala wa taifa vyote vyakwenu na mnavitumia ipasavyo kuwatesa watu na kuwaua.
Mwigulu na CCM walitegemea dili hili litalipa ndio maana baada ya video kutoka kina Michuzi walipongezana, lakini hadi sasa ime backfire na zaidi vijijini wengi hawajui hata maana ya neno gaidi wao wanachojua zaidi ni neno jambazi.
urais wa kenya unategemea hasa wewe unatoka kabila gani.Ukae ukijua tz siyo kenya na mfano wako hauna mashiko
Hiyo ndio kazi anayoiweza, alishindwa ukatibu wa uchumi pamoja ya kuwa na MBA/mchumi daraja la kwanza
Wewe ni zuzu kweli anayetakiwa ku prove kuwa ni ya kweli au si ya kweli ni Chadema au walioshitaki.video ya lwakatare ni usaliti ambao
ludovick ameufanya kwa chadema.ile
video ni ya ukwel na ile mipango
ilifanyika tatizo ni hyo video
kuleakishwa.tusijarib kujidanganya kuwa
ni fake wakat dhahir ile video
inaonekana ni halisi kabisa.suala ni
kuwa chadema ijiangalie ndan yake kuna
watu wasiyoitakia mema lakin pia kama
mipango hii inahusisha chama basi si
harakat njema hata kidogo.HII VIDEO
KWA ASILIMIA 90 NI HALISI HZO 10
NAWAACHIA CDM WAPROVE KUWA SI
HALISI.
sasa kama mwigulu na ludovick lao moja kwanini a decline kupokea milioni tano za mpesa toka kwa mwigulu?.
Anapandisha mzuka bure kwani meongelea Bungeni kwa kutegemea kuungwa mkono na uwingi wa chama chake. Ni mbumbumbu sana -- anashindwa kutumia hoja ya nguvu na daima huwa nu tegemezi kwa vyombi vya dola ku-carry along his sinister agenda.
Lakini kwa CDM na Lissu kakwama. Aeleze basi mawasiliano yale ya simu na Ludovick, na pia kumtumia hela ikiwemo siku moja alimtumia kwa MPesa sh milioni 5 ambazo hata hivyo Ludivick sijui machale yalimcheza hakuzichukua. Kumbukumbu inaonyesha 'declined'. Yote hii iko kwenye kumbukumbu za Voda. Itabidi aeleze yote hayo, Haitoshi tu, kusema, kama alivyosema hivi karibuni kwamba anayo haki kuongea kwa simu na watu wote hata wa CDM!
Kuwasiliana na simu na Ludovick wakati wa tukio la kutekwa Kibanda. NO SIR, YOU BETTER COME WITH ANOTHER LIE!
Mwisho wako umewadia, labda wakuokow policcm wako!
Hiyo ndio kazi anayoiweza, alishindwa ukatibu wa uchumi pamoja ya kuwa na MBA/mchumi daraja la kwanza
upeo wa tundu utakua ni mfupi sana.haujui kuwa unaweza kumtumia gaidi kuwanasa magaidi?.
Haya mambo yanafanyika duniani kote.wamarekani huwanunua al gaida ili waweze kujipenyeza hadi ngazi za juu za al gaida na hivo kuweza kupata mipango wanayopanga hao magaidi.
hiv angemwagiwa tindikal.baba ,mama .mkeo.mtoto wako ungesema hivi .think twice
Mkuu Feedback umenifurahisha sana.Vijijini wanapambana na majambazi wa rasilimali zao.
Hata vyombo vya habari vimepuuzia Uharo wao limebaki gazeti la Mtanzania tu
cheo alichonacho anasimamia uchumi pia na matumizi ya pesa kama slaa mlivyo mpa tu akajikopesha faster
Naona wabunge wote wa sisim wanashangilia lakini chuki wanayoipandikiza ni mbaya sana, ni sawa na huu udini ambao hata mzee wa fastjet baada ya kuutatua naye analalamika. kuna siku historia itachukua mkondo wake