Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
nilitamani kujibu hawana choice, lakini naamini kuna watu wema tu ndani ya ccm ambao wangeweza kushika nafasi hizo.....sasa this is the time hii issue iwe hadnled accordingly, maana bunge limekua kama kilinge cha mwenge mwisho
something has to be done right away
while ccm may be enjoying these public stunts, the outcomes will be more damaging to the party... lack of seriousness and leadership kwa chama tawala kunakifanya chama kuwa kama gulio
I am worried ni nini kimefanya ccm kuwaachia watu type ya Mwigulu nafasi kubwa hivi... CCM ni chama ambacho sikuwahi kutegemea kingefikia hivi
kusema ukweli mimi jana wakati namsikiliza mh mbowe katika hotuba yake nikajikuta nacheka peke yangu huku nijisemesha,,'sasa hii ni hotuba au mipasho''ilifikia mahali nikawa sifatilii tena hotuba na hadi leo imefika sikua na hamu ya kutune TBC,kumbe mwigulu nae kaamua kujibu mipasho ya jana.sasa this is the time hii issue iwe hadnled accordingly, maana bunge limekua kama kilinge cha mwenge mwisho
something has to be done right away
while ccm may be enjoying these public stunts, the outcomes will be more damaging to the party... lack of seriousness and leadership kwa chama tawala kunakifanya chama kuwa kama gulio
I am worried ni nini kimefanya ccm kuwaachia watu type ya Mwigulu nafasi kubwa hivi... CCM ni chama ambacho sikuwahi kutegemea kingefikia hivi
SOMA MITHALI 29:2 utapata ukweli woooooooote!!
Mwigulu ni janga kwa taifa.
kusema ukweli mimi jana wakati namsikiliza mh mbowe katika hotuba yake nikajikuta nacheka peke yangu huku nijisemesha,,'sasa hii ni hotuba au mipasho''ilifikia mahali nikawa sifatilii tena hotuba na hadi leo imefika sikua na hamu ya kutune TBC,kumbe mwigulu nae kaamua kujibu mipasho ya jana.
Lakini katika michuano ya kisiasa haya mambo yapo sana tu.
Hali hii, haitovumilika, ntatangaza mgogoro na Mbowe, naanzia kesho Blue Pearl, ubungo plaza, kwa mujibu ya message nilioipata! Ntafuata taratibu za vikao vya chama changu.
siasa za tanzania huwa nashindwa kuzielewa kabisa. ila tumuachie Mungu maana yeye ndiye ajua ukweli
hiyo mipasho iliwafanya wabunge na mawaziri wa ccm wakae vikundi na kujadili huku viti vikiwaka moto sasa sijui ni mipasho au ni michano!!!!!!!!!!!
Zuzu mwingine toka lini Chadema ikawa DPP au mahakama? Huo utafiti ni wa ndani ya chama, Polisi na DPP waliomshikilia Lwakatare ndio wanatakiwa wa-prove with no doubt kuwa ile video na yale maneno ni real, not only real yalitamkwa na Lwakatare kwa mwendelezo na si kwa kuungwa ungwa, nyie shangilieni tu yatakapomgeuka bosi wenu muwe tayari kumtetea tena.tuona barua zzk kwenda kwa slaa akiomba mfanye utafiti huku lisu akisema ni original na slaa akisema ni feki.duhhh
Jamani huyu spika mimi simpendi basi yaani mambo yake unaweza ukashawishika hata kumwombea mabaya
hili jamaa uwelewa wake ni mdogo sana, atachukiwa sana na jamii kwa siasa zake za kipuuzi na kwa kwendo huu hatafika mbali kisiasa.
Wazee mkeemeeni kijana huyu maana ameivamia siasa kwa pupa.
mbowe kama khadija kopa wa tot
dawa ni kumsomea ile dua tuliyomsomea jk
cheo alichonacho anasimamia uchumi pia na matumizi ya pesa kama slaa mlivyo mpa tu akajikopesha faster