Mwigulu Nchemba: Hakuna mwananchi atakayelipa mkopo, Serikali italipa

Haya sio maneno yangu mkuu; ni maneno ya Mwigulu. Hebu msikilize kwenye klipu hapo juu.
Ohh ni kweli mkuu, nilidhani unashabikia kuwa wananchi hatushiriki kulipa madeni, samahani mkuu, nabadili kauli. Eti Mh. Mwigulu ana PhD ya uchumi anashindwa kuelewa kuwa hata Baba yake anachangia kulipa deni, yaani hata yeye Mwigulu anachangia kulipa deni kupitia PAYE
 
Waweza kuta baada ya kutoa kauli hiyo wale wahudhuriaji walipiga makofi mengi na vigelegele( mtoa mada nisaidie kujua kama hilo lilitokea maana utakuwa ulifuatilia mwanzo mwisho)
 
PHD ya jalalani hii, Serikali inatowa wapi hela Kama sio Kodi kutoka kwa mwananchi.
 
Waweza kuta baada ya kutoa kauli hiyo wale wahudhuriaji walipiga makofi mengi na vigelegele( mtoa mada nisaidie kujua kama hilo lilitokea maana utakuwa ulifuatilia mwanzo mwisho)
Kama vile ulikuwepo mkuu.......walimshangilia na nderemo na vifijo lakini kuna mkuu wa mkoa mmoja anaitwa Mh Anthony Mtaka, yeye alitikisa kichwa kwa masikitiko 😳 😳
 
Mh Mwigulu ni born again Christian. Katumia msahafu. Ya Kaisari mpeni Kaisari na ya Mungu mpeni Mungu. Kodi ni ya Kaisari. Labda hapo serikali ni wananchi ndipo kwenye kamgogoro.
 
Serikali ina Shamba?
 
Kama Waziri hafahamu mapato ya serikali yanatoka wapi na bado ni Waziri unafikiri mwenye tatizo hapo ni nani? Aibu kubwa sana hii.
 
Vizuri, umemsikiliza.

Umemuelewa?
 
Hicho cha arusha au..
Serikali inafanya biashara au kojoa ulale shule zimekaribia kufunguliwa.
Serikali inakopa fedha kulipia madeni ya zamani iliyokopa; haimgongei mlango mwananchi yeyote kumuomba asaidie kulipa deni ✍️
 
Mkuu iamini serikali; hakuna mwananchi atakayeombwa fedha ya kulipa deni la taifa. Serikali italipa. Full stop.
unafikiri Kwa kutumia ubongo au matako wewe jamaa,una ujinga mkubwa sana
Narudia wewe ni hopeless na nafikiri wewe ndie huyo taahira mwenye PhD Madelu
Serikali italipa Kwa Pesa ilizochimba ardhini au?
Inaonesha jinsi Gani ulivyo juha hapa jamvini
Napendekeza mkeo awatafutie watoto baba mwenye akili timamu kuliko kua na mume mbumbumbu kama wewe
Shame!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…