Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Ila kuna wizara huwa zinapendezea zaidi akiwa mtu ambae mwenye pro inayo endana mfano, Afya hata uchumi na mambo ya fedha
Safi sanaKuna kapeperushi kanaitwa Tanzanite waanze nako ...la sivyo tutawaona na wao ni wahuni tuu
Yule mwamba ni balaaAlishatengewaga 2bil na Lugola na hakupatikana[emoji38][emoji38]
Achana nae kabisa. WamemshindwaππYule mwamba ni balaa
Wanasemaga ''Msako huo kwio''
Ni rahisi zaidi kutukana giza kuliko kuleta mwanga..Safi sana
Hujui hata kuandika neno 'mhuni' halafu ndiyo unajenga hoja na kumtukana waziri?!
Wapinzani wapi waliuwawa? Unazungumzia wale waliotolewa kafara kule Pemba na kuacha wanasiasa wachache wakinufaika na SuK?Wapinzani walivyouliwa kwenye uchaguzi mbona hakufuatilia ? Au kwakuwa yeye ni mnufaika wa umwagaji ule wa damu na wizi wa kura? Akatishie mapeasant wenzake huko kijijini kwao.
Nasikia na Mama Ndalichako anatoa vitisho leo.Heheeee huyo kashanyang'anya wizara ya mwenzie πππππππππ anajikuta kama ni waziri wa mambo ya ndani hivi!!!
πππππππ
Huyo jamaa yako hawezi kuacha anatafuta fursa. Lakini pia Mwigulu angekuwa akiishi ktk jamii staarabu, kwake kungekuwa gerezani.My future president i believe u can do better than this!acha vitisho hii ni dunia nyingine sio ile ya 47
Utamwelewa kama wataka. Anapeleleza yeye. Anakamata yeye. Anahoji yeye. Anasililiza yeye. Anahukumu yeye. Anafunga yeye. Na anatangaza hayo yote mwenyewe Twitter!Mwigulu sijawahi kumwelewa kabisa
Muda nilijiuliza hawa evil spirits hutoka wapi? Jibu likawa kuwa huzaliwa. Na nani? Bado swali tu. Leo jibu limepatikana. Mtoto wa nyoka ni nyoka. Mama wa evil spirits ni mama Demons!Muendelee kutupatia updates za Tundu na bipolar yake