Mwigulu Nchemba: Tunawafuatilia wanaopotosha na kuzushia viongozi vifo

Wakizifungia twitter & VPN zote bado kuna mbinu nyingi tu za watu wachache kuzua taharuki,halafu usisikie tcra ukafikiri labda ni watu smart sana kichwani

Believe me more than 80% ya mafanyakazi ya tcra hayajui hata antivirus zinavyofanya vp kazi
 
Wakizifungia twitter & VPN zote bado kuna mbinu nyingi tu za watu wachache kuzua taharuki,halafu usisikie tcra ukafikiri labda ni watu smart sana kichwani

Believe me more than 80% ya mafanyakazi ya tcra hayajui hata antivirus zinavyofanya vp kazi
VPN haziwezi kufungiwa mkuu
 
Kuruhusu baadhi ya watu ambao hawana mbele wala nyuma kuleta taharuki ni failure. Kwa nini msifanye kweli?...
Haha kitendo cha kusema VPN zifungiwe tu nimegundua kumbe huna lolote ulijualo juu ya internet service. Ningekupa Somo la VPN na kwanini hakuna serikali yoyote duniani, wala hackers wala internet provider wako anaweza kukamata mawasiliano unayofanya.
Nipo njiani
 
Hii nchi inaongozwa na mageneral wa mgambo,kila siku kutishia kukamata watu tu,lazima uzushi uendelee maana si mmezea kuonesha kila uzindizi live TBC
 
tena tunaomba wakamatwe haraka sana ili wafundishwe nidhamu ya kutii sheria bila shuruti.
 
Mlamba viatu wa meko
 
Huyu ndo mteuliwa aliyevunja rekodi ya teuliwa/tenguliwa mara nyingi ndani ya muda mfupi kuliko wote kwa hiyo ana wasiwasi mteuaji akifariki ndo utakuwa mwisho wake wa kuteuliwa maana anajijua hafai nafasi yoyote.

Lisemwalo lipo kama halipo laja karibuni!
 
Waziri wa Katiba na Sheria amesema wanawafuatilia wote wanaozushia watu vifo. Na hatua kali zitachukuliwa dhidi yao. Mpaka sasa kuna baadhi wameanza kushughulikiwa.

Mh waziri hata watoto wa vigogo utawachukulia hatua?

View attachment 1723074
Hahaaa wiki hii wajinga mnatupa raha,mtaongea mengi mwisho mtameza ulimi...tulieni [emoji870] tenaaaaa ya nini kutumia nguvu kubwa kutisha watu muda ni ukuta
 
Hii nchi inaongozwa na mageneral wa mgambo,kila siku kutishia kukamata watu tu,lazima uzushi uendelee maana si mmezea kuonesha kila uzindizi live TBC
Huyo mla punda hana akili akamtishe mkewe,istoshe ukweli utakua wazi mda wowote kua kuna mtu yuko fiti anapiga pushups za kutosha[emoji870] kama vileeeee....utamalizia wewe
 
Waziri kujibizana twittani na kutoa vitisho vya kuchukua hatua za kisheria ambazo hazijawahi kutungwa πŸ˜† πŸ˜†

Everyday is Saturday................................😎

Mdudu au bacteria akiingia mwilini haraka haraka huanza kujenga " capsule" tulianza na kuchora mawe na madaraja na sasa tupo kidigitali zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…