KijembeNadhan wenye Udokta wa kupewa Sijui chuo kikuu Cha Dar, na wengine wote kwingineko, mmetuelewa vizuri !!
Kwa Jinsi ambavyo Wanawake wakipata Nyadhifa, Huwa hawapendi kuonekana hawafai?.
Mwigulu na Ufedha wake, Sijui Sijui, Mwanamke mwenyewe wa Zanzibar
Ila Kaka Mwigulu, Kuna kusoma alafu Kuna kukiweka kwenye vitendo kile ulichokisomea!!!
Amekula ya mbuzi
Kwahiyo hapa Dr. Mwigulu Nchemba PhD anawaambia nini kina Dr. Samia, Dr. Kikwete, Dr. Hamisi Taletale na ma Dr wengine kama hao?
Wewe Dr. Mwigulu Nchemba wewe?
Kwa kuogipa kuumbuka atakuwa anaitanguliza ndani ya boxerRubbish, Mwigulu weka publications zako from your thesis na pia weka thesis yako public watu/wasomi waione na kuidadavua. Iko wapi?
Bora ya Musukuma mara 100Mbona ana udocta lakini matokeo ni sifuri Bora aliyepewa wa heshima
Bado kushusha kisu tuWapiga ramli wanadai mbuzi kaelekea kibra
Ila mganga wake yuko vizuri sana,hili nalo litapita tu,uchawi upobwana madelu ni kituo kinachofuata
Umeandika umbea mtupu, kama unaidhihaki PHD ya kusotea nawe nenda kaitafute tukuone.Nadhan wenye Udokta wa kupewa Sijui chuo kikuu Cha Dar, na wengine wote kwingineko, mmetuelewa vizuri !!
Kwa Jinsi ambavyo Wanawake wakipata Nyadhifa, Huwa hawapendi kuonekana hawafai?.
Mwigulu na Ufedha wake, Sijui Sijui, Mwanamke mwenyewe wa Zanzibar
Ila Kaka Mwigulu, Kuna kusoma alafu Kuna kukiweka kwenye vitendo kile ulichokisomea!!!
Na wa msoga pia...yaani huyu jamaa akitusua hii..nitaamini uchawi unafanya Kazi kweli kweliJiwe katikati ya Giza Totoro.
Hajui mwenye Udokta wakupewa ndiye yule yul alosema...
"Ukiniparula namimi nakuparula" 😂
Na wa Msoga pia...Jiwe katikati ya Giza Totoro.
Hajui mwenye Udokta wakupewa ndiye yule yul alosema...
"Ukiniparula namimi nakuparula" 😂
Wahame Nchi
Kwahiyo hapa Dr. Mwigulu Nchemba PhD anawaambia nini kina Dr. Samia, Dr. Kikwete, Dr. Hamisi Taletale na ma Dr wengine kama hao?
Wewe Dr. Mwigulu Nchemba wewe?
Hakuusomea aseme ukweli amenunua kama alivyoununua MagufuliNadhan wenye Udokta wa kupewa Sijui chuo kikuu Cha Dar, na wengine wote kwingineko, mmetuelewa vizuri !!
Kwa Jinsi ambavyo Wanawake wakipata Nyadhifa, Huwa hawapendi kuonekana hawafai?.
Mwigulu na Ufedha wake, Sijui Sijui, Mwanamke mwenyewe wa Zanzibar
Ila Kaka Mwigulu, Kuna kusoma alafu Kuna kukiweka kwenye vitendo kile ulichokisomea!!!
Yaani jamaa asivyojua kuconnect ubongo na kinywa chake,eti ndani ya sentence moja amedharau Udaktari wa kupewa but immediately baada ya hapo anatuambia tusitilie mashaka strategies na Mipango aliyoweka huyo mwenye Udaktari wa kupewa....Wale UVCCM, kibajaji wa enzi za JOB wako wapi?!...au ndio Yale Yale aliyosema bwana Ndugai kwamba Mparuaji wa sasa sio MGOGO ;?Kijembe
...alianza kuuma amejishitukia akapulizia kama panya
🤣🤣🤣 Eti Dr Taletale, dah basi tena
Kwahiyo hapa Dr. Mwigulu Nchemba PhD anawaambia nini kina Dr. Samia, Dr. Kikwete, Dr. Hamisi Taletale na ma Dr wengine kama hao?
Wewe Dr. Mwigulu Nchemba wewe?
Ye nae kila siku kujisifia udaktari. Utadhani ndio wa kwanza kuupata
Huyu jamaa hana muda mrefu hapo wizarani.anamsema hadi boss wake kuwa ye dr yake ni ya darasni si ya kupewa...hajui anmgusa mwwnye masharubuNadhan wenye Udokta wa kupewa Sijui chuo kikuu Cha Dar, na wengine wote kwingineko, mmetuelewa vizuri !!
Kwa Jinsi ambavyo Wanawake wakipata Nyadhifa, Huwa hawapendi kuonekana hawafai?.
Mwigulu na Ufedha wake, Sijui Sijui, Mwanamke mwenyewe wa Zanzibar
Ila Kaka Mwigulu, Kuna kusoma alafu Kuna kukiweka kwenye vitendo kile ulichokisomea!!!
Hajui kuwa tunajua kuwa aliununua kwa kuwahonga maprofesa? Si rahisi kupata udakatari wa kweli kwa njia alizopitia kilaza huyu aliyegushi kuanzia sekondari hadi ch
Mimi ushauri wangu bwana Madelu aweke thesis yake hadharani na watu waipitie ili awakomeshe vizabizabina kama Dr MusukumaUnajua watu waliokulia vijijini wakaja mjini kusoma Chuo Kikuu baada ya kufaulu form six Huwa wanasumbulia sana na ugonjwa wa ushamba.Mwigulu ni mshamba!