Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Walio kwapua TPA sio ngumbaruMwigulu asiseme kwamba pesa kwenye ma bank hazitachukuliwa sababu hii itakua imekaa kisiasa zaidi ya kiutendaji..... Bali aseme ni pesa gani ambazo hazitachukuliwa ili kuwasaidia watanzania kuwa makini na pesa zinazopita kwenye mikono yao
Nchi hii inaendeshwa kwa sheria na taratibu, pesa kama zile bilion4 kasoro za TPA zitatafutwa popote zilipo na kurudishwa mikononi mwa serikali
Pesa kama zilizosemekana kukwapuliwa BOT kama ni kweli zitatafutwa kwenye accounts zozote na zitachukuliwa
Walio kwapua TPA sio ngumbaru
Ukweli ndio huo, mengine tusiumize sana vichwa. Kikubwa hapo seriakili kuziba huo mwanya kwa kubadili sheria na sera za mambo ya pesa yawe yenye uwazi. Sio watu wawili au watatu wanakuwa wana hozi mabilioni ya watanzania.. kiasi kwamba yanawapa mwanya wa kuyakwapuaUnawajua na kuyajua mambo yao
😂😂😂😂😂Labda malaika wa shetani ndo atawaongoza,lakini Malaika wa Mungu nasikia wanamsubiri ili wamkamate halafu wamtupe kwenye Ziwa la Moto.
Amethibitisha kwa kinywa chake walikuwa wanachukua pesa za watuMwigulu Nchemba huyu huy ndio kabadilika tena, si ndio alisema mazingira ya biasashara ni mazuri sana Tanzania? kwahio nini msimamo wa Mwigulu kwa sasa?
Mkuu utashitaki kwenye mahakama gani labda itakayokupa haki?Kwa kuanzia ni kuzishitaki bank husika kwa kutoa fedha zako bila idhini ya mteja baada ya hapo bank na TRA watajuana.
Mkuu ungekua wewe ungeweza kumkosoa jamaa?huyu ni waziri bogus na mnafiki. alikuwa wapi kusema haya kwa Dikteta. anashindwa hata kulinda heshima kidogo ya Dikteta
mimi ningemkosoa bila kuogopa. Akinifikuza poa tu. lazima tuwe wazelendo wa kweliMkuu ungekua wewe ungeweza kumkosoa jamaa?
Huyu anaongea tu, kulikua na kunguni yeyote mwenye ubavu wa kumhoji Yohana mbatizaji kwa moto?ThubutuKale cha Uzi Ka aliendika hii message anyooshe mkono nimjibu hukukaona Mkuu?
Usingeweza, situation ilikua tight sana. Kukosoa tu ukiwa nyuma ya keyboard ilikua ngumu leo useme kirahisi tu hivyo.mimi ningemkosoa bila kuogopa. Akinifikuza poa tu. lazima tuwe wazelendo wa kweli
serikali walikosea kitu kimoja, walipokua wanachukua hela kibabe kwenye account, wangehakikisha pia mtaani kuna ujambazi wa maana.Tulishanunua vibubu, hela tunaweka ghalani.
Tunahifadhi darini, ukiwa na shida unapanda ngazi. Tena tunaweka in USA $ na £ Sterling.serikali walikosea kitu kimoja, walipokua wanachukua hela kibabe kwenye account, wangehakikisha pia mtaani kuna ujambazi wa maana.
Ukiweka hela bank zinakombwa, ukiweka home, majambaka.