Amlete Dr. Saada MkuyaKwa mtazamo wangu, Mwigulu hafai kabisa kuwa waziri wa wizara yoyote licha ya kuwa waziri wa fedha.
Sijamuona kuwa na ubunifu wowote kwenye kazi zake.
Huwa nashangaa ni vipi mtu kama Mwigulu, ambae hana kabisa hata "art" ya kuongea anaweza kuteuliwa kuwa waziri.
Hata jinsi alivyowakilisha bajeti yake haikuwa na mvuto na wala hakuonesha ubunifu wowote.
Mama Samia tuondolee hilo bomu wizara hiyo.
Mbona kuna wengi sana bungeni ambao wana muono wa hali ya juu bungeni?
Kwa ufupi, Mwigulu hafai kabisa.
Kuna harufu ya udini hapaHakuna ugomvi hapa, kuna demokrasia ndani na nje ya CCM.
Hilo nalo no tatizo letuUnataka amtoe amuweke nani. Nchi hii ina vilaza wa kufikiri kweli
Huenda kwa mara ya kwanza kabisa ninakubaliana nawe humu JF juu ya jambo lolote; lakini kwa bahati mbaya hata hili ambalo ningekubaliana nawe naona unalivuruga.Mama Samia tuondolee hilo bomu wizara hiyo.
Mbona kuna wengi sana bungeni ambao wana muono wa hali ya juu bungeni?
Kwa ufupi, Mwigulu hafai kabisa.
Mazigazi jamaa yeye kajikita kwenye ukabila, mtoa mada yeye alijikita kwenye Sanaa ya uwasilishaji BajetiMwigulu hana haiba wala busara za kuwa kiongozi, mwanasiasa au mwakilishi wa wananchi...
Ana tabia zile za watu wa Singida, hawa ndugu zetu ni watu wenye dharau/wajivuni sana juu ya watu wengine haswa wakishafikia daraja fulani la kisomo (mifano ipo wazi kwa kina Lissu, Nyalandu n.k)
Inawezekana akawa ni mtaalamu wa uchumi, na ingetosha tu akawa mtendaji kama Katibu Mkuu wa wizara, Gavana au Mshauri wa Uchumi...
Akili tunazo, tatizo ni namna ya kutumia, jamaa kauliza vyema atolewe awekwe nani? Kwa misingi ya taaluma na si haya mengine ya "art" au unyiramba au udini kama ulionao wewe, Mwigulu mule Bungeni akishindanishwa na wengine hata akishindwa hatotoka kwenye top 5 kwa merit based criteria labda haiba yake, ufisadi, dhulma n. K lakini ni msomi mzuri tu mwenye bahati mbaya ya kutokueleweka mbele ya umma, nadhani dhambi ya kunyanya wazalendo/Watanganyika wenzie "Gizani" ndio inayomtafuna na anaelekea kuilipa. "karma" Cc Pascal MayallaHilo nalo no tatizo letu
Hapa hatuna akili kabisa.
Wenyewe wanakwambia serikali na mashirika makubwa ya nje wanamlilia sana Dkt. Mwigulu Nchemba.
Anajua kuandika proposal za mikopo hadi worldBank wanakubali mziki!!Aliyemteua akiendelea kumuwacha ndiyo atakuwa kafanya kosa.
Mavilimba haya si majina ya kinyiramba unamponda nduguyo?Mwigulu ni kilaza wahed,yupo yupo tu
Waziri mzima anaona fahari kupiga picha kama ndiyo ishara ya yeye kupongezwa Kwa uchumi mzuri
Kweli kupiga picha ndiyo criteria ya kupima uwajibikaji wa majukumu ya mtu kweli!?
Pathetic
Unyiramba wangu hauna uhusiano na ukilaza wa MwiguluMavilimba haya si majina ya kinyiramba unamponda nduguyo?
Wataje wachache.Mbona kuna wengi sana bungeni ambao wana muono wa hali ya juu bungeni?
sio hitubavya! ni hotuba yahitubavya bajeti yake eti ataongeza doria mipakani ili kuongeza mapato.
Si ujinga huo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenzako anaota kuwa Rais wa kwanza Mlutheri, aahhaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anasema yeye ndiyo Mchumi mbobezi kwa kusomea,
Kuongezea anasema yeye ana Udaktari(PhD) wa Kusomea sio wa kupewa [emoji119]
Na mwisho kabisa alisema kama utaona Maisha magumu Tanzania basi wote kwa ujumla tuhamie Burundi eti [emoji2297]