BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
ConnectionKwa mtazamo wangu, Mwigulu hafai kabisa kuwa waziri wa wizara yoyote licha ya kuwa waziri wa fedha.
Sijamuona kuwa na ubunifu wowote kwenye kazi zake.
Huwa nashangaa ni vipi mtu kama Mwigulu, ambae hana kabisa hata "art" ya kuongea anaweza kuteuliwa kuwa waziri.
Hata jinsi alivyowakilisha bajeti yake haikuwa na mvuto na wala hakuonesha ubunifu wowote.
Mama Samia tuondolee hilo bomu wizara hiyo.
Mbona kuna wengi sana bungeni ambao wana muono wa hali ya juu bungeni?
Kwa ufupi, Mwigulu hafai kabisa.
Yuko pale kwa sababu maalumuKwa mtazamo wangu, Mwigulu hafai kabisa kuwa waziri wa wizara yoyote licha ya kuwa waziri wa fedha.
Sijamuona kuwa na ubunifu wowote kwenye kazi zake.
Huwa nashangaa ni vipi mtu kama Mwigulu, ambae hana kabisa hata "art" ya kuongea anaweza kuteuliwa kuwa waziri.
Hata jinsi alivyowakilisha bajeti yake haikuwa na mvuto na wala hakuonesha ubunifu wowote.
Mama Samia tuondolee hilo bomu wizara hiyo.
Mbona kuna wengi sana bungeni ambao wana muono wa hali ya juu bungeni?
Kwa ufupi, Mwigulu hafai kabisa.
Rais ndo anajua anampendea nini. Nyie wengine hamwezi elewa. Mwacheni Rais apige kazi.Kwa mtazamo wangu, Mwigulu hafai kabisa kuwa waziri wa wizara yoyote licha ya kuwa waziri wa fedha.
Sijamuona kuwa na ubunifu wowote kwenye kazi zake.
Huwa nashangaa ni vipi mtu kama Mwigulu, ambae hana kabisa hata "art" ya kuongea anaweza kuteuliwa kuwa waziri.
Hata jinsi alivyowakilisha bajeti yake haikuwa na mvuto na wala hakuonesha ubunifu wowote.
Mama Samia tuondolee hilo bomu wizara hiyo.
Mbona kuna wengi sana bungeni ambao wana muono wa hali ya juu bungeni?
Kwa ufupi, Mwigulu hafai kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]faiza,nawe umeona mwigulu hajui kuongea eeh?anaongea kama mtoto mwenye uji mdomoni, hata hivyo mtu wa iramba na art ya kuzungumza wapi na wapi?
Taifa la Vilaza hili lazima achaguliweWatamchagua mabomu wenzake.
MissionPale mama kauingia mkenge.
Raisi hana muda wa kufatilia Utendaji wa Wateule wake.. Anachojua ni kuteua na kuhamisha basi.Kwa mtazamo wangu, Mwigulu hafai kabisa kuwa waziri wa wizara yoyote licha ya kuwa waziri wa fedha.
Sijamuona kuwa na ubunifu wowote kwenye kazi zake.
Huwa nashangaa ni vipi mtu kama Mwigulu, ambae hana kabisa hata "art" ya kuongea anaweza kuteuliwa kuwa waziri.
Hata jinsi alivyowakilisha bajeti yake haikuwa na mvuto na wala hakuonesha ubunifu wowote.
Mama Samia tuondolee hilo bomu wizara hiyo.
Mbona kuna wengi sana bungeni ambao wana muono wa hali ya juu bungeni?
Kwa ufupi, Mwigulu hafai kabisa.
😅😅😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asahau!Mwenzako anaota kuwa Rais wa kwanza Mlutheri, aahhaaaa
Yaani yule jamaa hana muono kabisa.🤣🤣faiza,nawe umeona mwigulu hajui kuongea eeh?anaongea kama mtoto mwenye uji mdomoni, hata hivyo mtu wa iramba na art ya kuzungumza wapi na wapi?
Amewekwa hapo kimkamkati na si kwa maslahi ya Taifa.Pale mama kauingia mkenge.
Unaemwambia ndio huyo hasikii wala haoni kwa mnayoongea ninyi wananchiKwa mtazamo wangu, Mwigulu hafai kabisa kuwa waziri wa wizara yoyote licha ya kuwa waziri wa fedha.
Sijamuona kuwa na ubunifu wowote kwenye kazi zake.
Huwa nashangaa ni vipi mtu kama Mwigulu, ambae hana kabisa hata "art" ya kuongea anaweza kuteuliwa kuwa waziri.
Hata jinsi alivyowakilisha bajeti yake haikuwa na mvuto na wala hakuonesha ubunifu wowote.
Mama Samia tuondolee hilo bomu wizara hiyo.
Mbona kuna wengi sana bungeni ambao wana muono wa hali ya juu bungeni?
Kwa ufupi, Mwigulu hafai kabisa.
Mbona Mungu hausiki hapo? Mambo mengine kama wa kushukuriwa basi amshukuru shetani, Mungu hapendezwi na ujinga ujinga kama huu.Mwigulu amshukuru sana Mwenyezi Mungu. Maana hapo alipo na kwa utendaji wake ni majaaliwa tu.
Eeh mlishangilia wakati mwendazake akiwapitisha kwa style ya" huyo mupe huyo muruke " zee la hovyoKwa mtazamo wangu, Mwigulu hafai kabisa kuwa waziri wa wizara yoyote licha ya kuwa waziri wa fedha.
Sijamuona kuwa na ubunifu wowote kwenye kazi zake.
Huwa nashangaa ni vipi mtu kama Mwigulu, ambae hana kabisa hata "art" ya kuongea anaweza kuteuliwa kuwa waziri.
Hata jinsi alivyowakilisha bajeti yake haikuwa na mvuto na wala hakuonesha ubunifu wowote.
Mama Samia tuondolee hilo bomu wizara hiyo.
Mbona kuna wengi sana bungeni ambao wana muono wa hali ya juu bungeni?
Kwa ufupi, Mwigulu hafai kabisa.
Dada Faiza hakuna siku nilishangaa kama siku ile Wafanyabiashara Kariakoo wametangaza mgomo alafu jamaa yupo tu ata kwenda kuwapooza na kushughulikia kero zao!Pale mama kauingia mkenge.
Hakuna cha ubinifu pale wote wezi tu.Mama ni mchapa kazi na mbunifu sana, ni mtu wa kutatuwa matatizo.
Kwa Mwigulu mama inabidi amuondoe tu wizarani.
Waziri gani anakosolewa zaidi ya mara moja na Spika?