ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ubunifu gani ambao unaoutaka, mathalani wewe una ubunifu upi? Nani huyo ambae kwako ni Waziri Bora wa Fedha?Kwa mtazamo wangu, Mwigulu hafai kabisa kuwa waziri wa wizara yoyote licha ya kuwa waziri wa fedha.
Sijamuona kuwa na ubunifu wowote kwenye kazi zake.
Huwa nashangaa ni vipi mtu kama Mwigulu, ambae hana kabisa hata "art" ya kuongea anaweza kuteuliwa kuwa waziri.
Hata jinsi alivyowakilisha bajeti yake haikuwa na mvuto na wala hakuonesha ubunifu wowote.
Mama Samia tuondolee hilo bomu wizara hiyo.
Mbona kuna wengi sana bungeni ambao wana muono wa hali ya juu bungeni?
Kwa ufupi, Mwigulu hafai kabisa.
Hizi ni chuki zile zile za Kwa January ila mwisho wa siku Wanafanikisha wakati nyie mkiendelea kusonya midomo 😁😁