Mwigulu ni kati ya Mawaziri wa Fedha wabovu kuwahi kutokea Tanzania

Kwa mtazamo wangu, Mwigulu hafai kabisa kuwa waziri wa wizara yoyote licha ya kuwa waziri wa fedha.

Sijamuona kuwa na ubunifu wowote kwenye kazi zake.

Huwa nashangaa ni vipi mtu kama Mwigulu, ambae hana kabisa hata "art" ya kuongea anaweza kuteuliwa kuwa waziri.

Hata jinsi alivyowakilisha bajeti yake haikuwa na mvuto na wala hakuonesha ubunifu wowote.

Mama Samia tuondolee hilo bomu wizara hiyo.

Mbona kuna wengi sana bungeni ambao wana muono wa hali ya juu bungeni?

Kwa ufupi, Mwigulu hafai kabisa.
Ubunifu gani ambao unaoutaka, mathalani wewe una ubunifu upi? Nani huyo ambae kwako ni Waziri Bora wa Fedha?

Hizi ni chuki zile zile za Kwa January ila mwisho wa siku Wanafanikisha wakati nyie mkiendelea kusonya midomo 😁😁
 
Kateuliwa na Samia lakini na anamuamini.
Sio tuu Samia , Mwigulu ni Waziri senior hata Mwendazake alijikuta mwenyewe anamrudisha Serikalini na amekuwa huko kwenye rader za ccm Toka enzi za JK,mara muweka hazina wao nk..

So Mwigulu yupo hapo Hadi 2030 Wala usijisumbue
 
Mwigulu ni kilaza wahed,yupo yupo tu

Waziri mzima anaona fahari kupiga picha kama ndiyo ishara ya yeye kupongezwa Kwa uchumi mzuri

Kweli kupiga picha ndiyo criteria ya kupima uwajibikaji wa majukumu ya mtu kweli!?

Pathetic
Mwigulu anasalia kuwa ndio Waziri pekee wa Fedha ambae Kwa awamu yake Serikali imefanya makubwa..

Ni Mwigulu ndio amekuja na Mpango wa EPC+F,amewezesha kubuniwa mfumo wa procurement na Wataalamu wa ndani badala ya kukodisha Nje nk

Binafsi namkubali sana Mwigulu,Rais usisikilize majungu ya Hawa mbuzi pori
 
Ubunifu gani ambao unaoutaka, mathalani wewe una ubunifu upi? Nani huyo ambae kwako ni Waziri Bora wa Fedha?

Hizi ni chuki zile zile za Kwa January ila mwisho wa siku Wanafanikisha wakati nyie mkiendelea kusonya midomo 😁😁
Mwigulu anataka ziongezwe doria mipakani eti ili ziongeze pato la taifa.

Kwako huo ndiyo ubunifu?
 
Shida ya mwigulu anataka kuiendesha wizara kisomi wakati inabidi kuiendesha kisiasa
 
Ilipaswa alaumiwe aliemteua.

Maana anao uwezo kumtoa muda wowote akitaka

Anashindwa Nini!?

Anyway hii pia isije kuwa Moja ya zile chuki zako Cha kidini.

Maana hunaga jema na akina John na Alex we hata juma na Mohamed wakiongea kunya huwa unaona dhahabu tu as long as ni mwenzako katika imani.

Hii inafanya hata watu wawe na shaka na maoni au judgement Yako maana washakuwekea kipimo.
Hii coment niliitegemea,wakimuongelea wengne Lameck wala hakuna kelele lakini kwa kuwa ni Faiza kuna nongwa.Wakati mwingne shule hazitusaidii kabisaa.
 
Huyo ajuza huwa anajulikana.

Labda kama na wewe uko nae shirika moja
 
Kwa mtazamo wangu, Mwigulu hafai kabisa kuwa waziri wa wizara yoyote licha ya kuwa waziri wa fedha.

Sijamuona kuwa na ubunifu wowote kwenye kazi zake.

Huwa nashangaa ni vipi mtu kama Mwigulu, ambae hana kabisa hata "art" ya kuongea anaweza kuteuliwa kuwa waziri.

Hata jinsi alivyowakilisha bajeti yake haikuwa na mvuto na wala hakuonesha ubunifu wowote.

Mama Samia tuondolee hilo bomu wizara hiyo.

Mbona kuna wengi sana bungeni ambao wana muono wa hali ya juu bungeni?

Kwa ufupi, Mwigulu hafai kabisa.
wanaenda sawa na yule mzanzibar saada mkuye, hawa watu hawatakiwi hata kiupata ubalozi wa nyumba kumi. ni chukizo kwa watanzania.
 
Kwa mtazamo wangu, Mwigulu hafai kabisa kuwa waziri wa wizara yoyote licha ya kuwa waziri wa fedha.

Sijamuona kuwa na ubunifu wowote kwenye kazi zake.

Huwa nashangaa ni vipi mtu kama Mwigulu, ambae hana kabisa hata "art" ya kuongea anaweza kuteuliwa kuwa waziri.

Hata jinsi alivyowakilisha bajeti yake haikuwa na mvuto na wala hakuonesha ubunifu wowote.

Mama Samia tuondolee hilo bomu wizara hiyo.

Mbona kuna wengi sana bungeni ambao wana muono wa hali ya juu bungeni?

Kwa ufupi, Mwigulu hafai kabisa.
Utagombaba na Samia soonest🤣
 
Back
Top Bottom