Mwigulu, tuzungumze kizalendo kidogo! Bajeti na Janja ya CCECC

Ila bro umetisha yani wabunge wameshindwa kuyaona haya wao kazi yao kugonga meza tu na kusubiri posho

Kweli sasa wenye CCM yao wamerudi
 
Mkuu unadhani ESTER trans zinaongezeka kwa miujiza kila siku ?
Bi mkubwa aendelee kunyamaza ili avune mabua mengi.
Ova
 
Muwe mnawapa wabunge wanaoweza kuongea Bungeni hizi tips..

Ujue CCM huwa wanatumia hii miradi mikubwa kuiba pesa za Nchi..

Kwa staili hii,Katiba mpya inahitajika mapema Sana japo haitamaliza rushwa ila itapunguza.
Mama yako hajui kuendesha nchi
 
Kuna kila dalili ya Mwigulu KUFUKUZWA KWENYE WIZARA NA KUKAMATWA
 

Aliyeibua hiyo hoja ni mbunge wa Biharamuro.

Most likely nadhani ni typo kwa upande wa Mwigulu kwenye kuandika maelezo; kuliko ufisadi.
 
Taarifa mheshimiwa Spika....🤣🤣🤣🤣waheshimiwa Mama anaupiga mwingi..... ..... wanagonga meza tu imagine kule ndani kuna TelaTela. Bogus kabisa ataelewa nini kwenye haya makulaji ya Mwigulu .
Asante mkuu Martin Maranja Masese
 
What if hio figure ni VAT?

What if mkataba ulikuwa VAT Exclusive??

Kama umempania hivi
Babu jinga mali yake inaliwa and you don't care.. Hii nchi ina malofa sanaa, eti VAT exclusive, VAT ya Trilioni na ushee??
 
Muwe mnawapa wabunge wanaoweza kuongea Bungeni hizi tips..

Ujue CCM huwa wanatumia hii miradi mikubwa kuiba pesa za Nchi..

Kwa staili hii,Katiba mpya inahitajika mapema Sana japo haitamaliza rushwa ila itapunguza.
Wakowapi sasa hao wabunge wa kupewa? Au wapewe covid ambao tayari wameshakuwa compromised??
 
Tusubirie majibu ya Mwigulu, Mwenyekiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…