Lady Mwali
Senior Member
- Nov 15, 2018
- 147
- 333
Akihojiwa na mwandishi wa habari wa kituo kimoja cha tv katika uzinduzi wa filamu inayotangaza vivutio vya kitalii Tanzania. Mwijaku ameulizwa kwa nini uzinduzi wa filamu ya Royal Tour unafanyika Arusha? Amejibu kwa sababu mkoa wa Arusha ndio mji unaopatikana mlima Kilimanjaro.
Mwijaku amekuwa msitari wa mbele katika kuonesha uzalendo kwa kutambua na kuunga mkono harakati za rais wa Tanzania katika kuwaletea Watanzania maendeleo na kukiri kuwa chawa wa kudumu wa rais mama Samia Suluhu.