Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,667
Hata huyo mwandishi pumba tu anatikisa kichwa kkubali badala amrekebishe hapo hapo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlima Kilimanjaro upo Mkoa wa Arusha? [emoji23]Akihojiwa na mwandishi wa habari wa kituo kimoja cha tv katika uzinduzi wa filamu inayotangaza vivutio vya kitalii Tanzania. Mwijaku ameulizwa kwa nini uzinduzi wa filamu ya Royal Tour unafanyika Arusha? Amejibu kwa sababu mkoa wa Arusha ndio mji unaopatikana mlima Kilimanjaro.
Mwijaku amekuwa msitari wa mbele katika kuonesha uzalendo kwa kutambua na kuunga mkono harakati za rais wa Tanzania katika kuwaletea Watanzania maendeleo na kukiri kuwa chawa wa kudumu wa rais mama Samia Suluhu.
View attachment 2204651
Mwijaku ameaibisha tasnia ya habari, ana upeo mdogo wa kufikiri.Mlima Kilimanjaro upo Mkoa wa Arusha? [emoji23] Watu huwa wanasahau kwamba Kilimanjaro ni Mkoa
Mlima Kilimanjaro upo Mkoa wa Kilimanjaro, Mlima Meru ndo upo Mkoa wa Arusha
Tena amejibu kwa kujiamini kabisaa. 🤣🤣🤣Duh aiseeee
Kama uchawa unalipa vizuri, hata Mimi nita- join the chain.
Watangazaj wenzie walikuwa studio wakawapigia sm,Geah akaongea kidogo tu,alipopewa mwijaku nafasi ya kuongea aliongea mpaka watangazaj wa studio walichoka na hapo alititirka bila hata kuwa anahojiwashida ni kuwa mropokaji ropokaji
ukipewa mic tu ulimi unakua hauna break
Daah Kuna vitu anafanya mwenzio ila aibu unaona wewe.Mimi nikijaribu kutafuta ugali wangu kupitia jasho la Watanzania kwa kuwa ni wajinga👇😁😁😁
View attachment 2204670
[emoji3]A
Mwijaku ameaibisha tasnia ya habari, ana upeo mdogo wa kufikiri.
Unalipa sana, masharti ni kufungia akili zako kabatini na kuuza utu wako, basi umewin utaendesha tako la nyani muda si mrefu.Kama uchawa unalipa vizuri, hata Mimi nita- join the chain.
Hivi mlimaa Kilimanjaro unapatikana Arusha au Moshi?je mlimaa meru?jamaa Kama hajui vitu aache kuropokaa....hiyo sio sababuu ya uzinduzi kufanyikaa huko.....moja ya reason kubwa nali kwamba Arusha li lango la utalii.huyuu mswailiii wa ujiji Ni mropokajiii