Mlima Kilimanjaro upo Mkoa wa Arusha? [emoji23]

Mlima Kilimanjaro upo Mkoa wa Kilimanjaro, Mlima Meru ndo upo Mkoa wa Arusha
 
Duuh!! Sasa heka heka zote zile za jana mabarabarani za kazi gani kumbe hamna anachojua. Lol.
 
A
Mlima Kilimanjaro upo Mkoa wa Arusha? [emoji23] Watu huwa wanasahau kwamba Kilimanjaro ni Mkoa

Mlima Kilimanjaro upo Mkoa wa Kilimanjaro, Mlima Meru ndo upo Mkoa wa Arusha
Mwijaku ameaibisha tasnia ya habari, ana upeo mdogo wa kufikiri.
 
shida ni kuwa mropokaji ropokaji
ukipewa mic tu ulimi unakua hauna break
Watangazaj wenzie walikuwa studio wakawapigia sm,Geah akaongea kidogo tu,alipopewa mwijaku nafasi ya kuongea aliongea mpaka watangazaj wa studio walichoka na hapo alititirka bila hata kuwa anahojiwa

Kwa kwel kuongea sana,mwsho wa siku lazma uongee yasiyo
Na hapo huwa anajifanya kuwa shule alikuwa nondo hatari
 
Ameuona Mlima Meru akajua ni Mlima Kilimanjaro!
 
Yule ni mtu anayependa kutrend aongelewe....mnadhan angejibu Kwa usahihi angetrend?...Anafahamu vyema alichokijibu
 
Hivi mlimaa Kilimanjaro unapatikana Arusha au Moshi?je mlimaa meru?jamaa Kama hajui vitu aache kuropokaa....hiyo sio sababuu ya uzinduzi kufanyikaa huko.....moja ya reason kubwa nali kwamba Arusha li lango la utalii.huyuu mswailiii wa ujiji Ni mropokajiii
 

Unapatikana K I L I M A N J A R O
 
Sasa unashangaa nini jibu kama hilo kutolewa na Mwinjaku?hapo hamna kitu kajitoa ufahamu mradi mkono uende kinywani hamna mtu pale box tu

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…