TANZIA Mwili wa Ulomi, Mfanyabiashara aliyedaiwa kupotea wakutwa mochwari Mwananyamala

Hatuilaumu serikali kwa kuua watu. Bali tunawalaumu kwa mambo 2.

1. Wameshindwa kulinda uhai wa Raia, kama walivosema wata walinda
2.Basi kama wameshindwa no. 1 basi, haki itendeke kwa wale walio husika kudhurumu uhai wa Ndugu zetu.

Kama hayo yote yamewashindwa, Option ya tatu ni wao kujitafakari kama wanatosha katika hizo nafasi.
 
Je tukate tamaa kama wananchi wa kawaida kwamba nothing can be done to change the situation and lead our country into a true and rightful way of governance and transparency?
Yes,....tukate tamaa-------tuendelee TU kuteseka
 
Mkuu tuna safari ndefu kama vichwa vyetu wenyewe havijaamua kufikiria vizuri na kuchukua hatua
 
Hivi watamaliza lini uchunguzi?
Tangu yameanza kutokea hatupati majibu ya uchunguzi.
Likitokea tukio ndo linakuwa limepoteza tukio jingine.
Kutoka kwa Kibao, sasa hili ni la ngapi, so kuskia tena habari za Kibao ndo hakuna tena.
Wale akina Soka, wala hakuna anaewakumbuka. Kwa uzembe uko kote kote, kwa wapelelezi na wale tunaopaswa kufatilia.
Ndio maana hatuchangamki kwa sababu ukienda umeenda, wanaobaki wanaendelea na mambo yao. Watasema mawili matatu ndani ya siku tatu then imeisha hiyo.
 
Hili ni tatizo na haya ndio mambo ambayo yanafaa kutoyafumbia macho. Kwa hatua tuliyofikia hii nchi inahitaji watu wenye uthubutu wa kuamsha vichwa vya watanzania mbele ya watawala bila kuogopa kama kina Tundu Lissu.
Cc; Mshana Jr
 
Mkuu tuna safari ndefu kama vichwa vyetu wenyewe havijaamua kufikiria vizuri na kuchukua hatua
Hatari sana polisi na wenyewe wamekua sehemu ya kutengeneza story ya kupindisha ukweli!

Sasa tukiwahoji nani amemuua na kwanini amuue, nani amemleta hospitali na alimkuta wapi kina @tlatlah na Hayawani Lucas Mwashambwa watakuambia tuviachie vyombo vya ulinzi vifanye kazi!
Ameuawa Mtumishi wao aliyekua anatumika katika tukio kama Hilo haraka sana wamekamata Raia wasiopungua watano na wakalia Kwa huzuni sana.

Mtu ametoa taarifa za kufuatiliwa na maisha yake Yako hatarini, wametengeneza story kuwa amejificha, Leo ni marehemu! Damu hii itawalilia kwani IPO siku familia za waliomizwa zitakua nyingi nao watachoka!
 
Katombwege huko malaya usiye na ubongo wewe !
Kazi kuandika mavi tu humu ,maneno mengi takataka tupu kujaza servers Tu hapa .
Kajifunze kuandika kwanza zezeta wewe
Unawashambulia Chadema ,Chadema ndio wanateka ,kutesa na kuua watu nchi hii we fala ?
Baba yako ni bora angepiga bao bafuni kuliko kuzaa mbulukenge kama wewe
 
Nasubiri kujua estimate ya time of death ila naamini walivyoona mzigo umeenda viral, mpaka Millard Ayo kareport wameruka naye.
Naamini ni <48 hours, tusubiri report.
 
Yani upo sahihi kabisa mkuu mi nashangaa wanaoitupia lawama Gavoo, mtu kama umeishi nchi zenye matukio utaelewa mambo ya kisasi unaweza mpiga mtu ukampasua ila kisasi chake akikudaka anakumwagia njugu
Logic ndogo kama hizi mnashindwa ,we kuangalia circumstances Tu za mauaji na kuona kwamba kuna tatizo kubwa na ukiangalia trend ya mauaji na pattern zake zilivyo nchi hii ?
Si kuna watu wengi tu wamekuwa wanatekwa na kuaawa na miili yao kukutwa Mwananyamala tena kihuni ,hao akina Sugu na manyika wenyewe mwaka huu tu wamekamatwa na polisi kinyemela wakaenda kuteswa na kupelekwa Mwananyamala , ninyi mnajitoa akili na kuandika upuuzi humu .
Swine
 
Asee unashangaza kwenye ishu ya uhai na kifo unaleta ishu za uchama? Kwahiyo mtu akihoji kuhusu uwajibikaji wa serikali inayotawala kushindwa kukomesha haya yanayotokea anaonekana ni mpinzani. Asee tuna safari ndefu ya kwenda kama taifa.
 
Tumejenga uwoga kiasi kwamba hata kwenye ukweli hatuaminiani tena,so far jeshi la polisi wametoa ufafanuzi wa tukio zima mpaka kupelelea kifo cha marehemu..
 
akili huna au unauwezo mdogo wa kufikiri watu invest sehemu tofauti mtu anaweza kua wakala lakini ana deal na vifaa vya magari,vya ujenzi n.k
Ongezea pia kua na ma deal machafu pia wanakuanayo, na hayo ma deal machafu ndiyo huwa yanawaponza hadi wanaangukia kwenye umauti!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…