The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 1,748
- 3,229
Hatuilaumu serikali kwa kuua watu. Bali tunawalaumu kwa mambo 2.Vifo vingine vinatokana na dhuruma kuiba wake za watu nk. Sidhani kama kufikiria serekali ya fisiemu inauwa hawa watu wote ni sahihi
let be reasonable guys. Serekali haiwezi kuuwa watu hovyo ikuuwe ww nani!!?? Yani serekali ije ikuuwe ww tigopesa kuweni na heshima kidogo basi
1. Wameshindwa kulinda uhai wa Raia, kama walivosema wata walinda
2.Basi kama wameshindwa no. 1 basi, haki itendeke kwa wale walio husika kudhurumu uhai wa Ndugu zetu.
Kama hayo yote yamewashindwa, Option ya tatu ni wao kujitafakari kama wanatosha katika hizo nafasi.