TANZIA Mwili wa Ulomi, Mfanyabiashara aliyedaiwa kupotea wakutwa mochwari Mwananyamala

Tatizo ni kwamba hii nchi ina waropokaji wengi kiasi kwamba wauaji wananata na beat. Kuna watu wanaropoka mpaka unajiuliza wanajiamini vipi. Hata humu kuna watu huwa wanatoa kauli za vitisho ila kwa sababu kuropoka ishakuwa kawaida. Unakuta mtu kakaa zake Kinzudi anatoa kauli kuwa fulani kajiteka na haulizwi wala hawajibiki kwa ropo ropo zake. Kwa watu kutowajibika kwanza kwa kauli zao watakufa wengi R .I.P Ulomi.
 
Nchi inachekesha sana.
Ukiwa maskini taabu.
Ukiwa mwanasiasa taabu.
Ukiwa mwanaharakati taabu.
Ukiwa shekhe taabu.
Ukiwa mchungaji taabu.
Ukiwa tajiri taabu.
Ukiwa mfanyabiashara taabu.
Ukijiajiri taabu.
Ukiajiriwa taabu.

Ally Mohamed kibao kabla mwili wake haujapoa kaburini Leo Tena OLOMI,hivi tutaushi katika maisha haya mpaka lini ? Nani yupo Nyuma ya mpango huu?
 
Uongozi wa polisi sio shida.

Inatakiwa sheria zibadirishwe, na kuwafanya polisi wawe more independent & accountable.

Haiwezekani, Polisi hawezi kukataa order kutoka kwa katibu wa CCM kwa kuhofia kibarua chake. Hii haiwezi kua sawa.
 
Yani upo sahihi kabisa mkuu mi nashangaa wanaoitupia lawama Gavoo, mtu kama umeishi nchi zenye matukio utaelewa mambo ya kisasi unaweza mpiga mtu ukampasua ila kisasi chake akikudaka anakumwagia njugu
Acha kuandika upumbavu wewe taahira na wajinga wenzako , ina maana siku hizi kuna watu wanafanya visasi vya kuua watu na kisha kuwapeleka hospitali au sio ?
Hivi niynyi mbwa mna akili au kinyesi cha paka na funza humo kwenye
Tunawahitaki sana watu wa namna hii kwenye nchi ya kiboya kama hii
Watu wanapotezwana kuuawa kama kuku na majitu yanasheregekea kwa kejeli na dharau na yanaona kawaida ,aiseee hii trend sio poa kabisa ,hii nchi watakuja watu kuanza kutengeneza vigilantees na vikundi vya kujihami na kujibu mapigo kwa kushindana ,hapatakalika ,kmamae yaani haiwezekani kuwe na kundi la Kenge flani wawe ndio wana haki ya kuishi na wengine wawe kama kuku ,kuchinjwa muda wowote ,no way
Huu ni upuuzi mkubwa .
Tutaanza hata kulipiza kisasi kwa kumwagiwa tindikali aisee ,umtendee unyama ndugu yangu na nipate info kwamba wewe ni mhusika au accomplise aiseee naenda nawewe kiulalolalo mamaeee , H2SO4 nahakikisha dumu la lita tano umelioga ,
 
Mzigo ulikuwa wa vifaa vya ujenzi kwa ajili ya finishing ya nyumba yake.
 
Hii nchi inatakiwa ipigwe balistic missile la kimataifa kizazi hiki tufe wote kije kingine
 
Mimi baada ya Jamiiforums mtandao mwengine naoutumia ni Facebook na huko nachoangalia mimi ni memes tu niki-comment sana utakuta ni โ€œhahaโ€ tu sina kingine cha kuandika
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ dah uko makini sana mkuu
 
Hii naamini ni Jinai,na Jinai haina ukomo!!
 
Akili yangu achana nayo, unaweza jibu Hospital amefkishwa na kina nani?

Au wewe ndio mtekaji ? Maana unahalalisha vitu havina kichwa wala miguu..
Haya maswali yako yote mwenye mamlaka ya kuyajibu ni Mkuu wa Jeshi la polisi,maana hii tayari ni Jinai!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ