kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
kwabongo Sheria mkononi yakuua kwa kukusudia imetungwa lini
biashara za mjini hizi!
biashara za mjini hizi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwann vifo vimekuwa vingi wakati huu? Kwann wanaoua hawakamatwi? Waliowahi kutekwa na kupigwa kisha wakasalimika walisema wametekwa na vyombo vya Dola wengine mpaka wakawataja na watekaji kwann tusihisi kwamba serikali ndio inahusika na unyama huu?Vifo vingine vinatokana na dhuruma kuiba wake za watu nk. Sidhani kama kufikiria serekali ya fisiemu inauwa hawa watu wote ni sahihi
let be reasonable guys. Serekali haiwezi kuuwa watu hovyo ikuuwe ww nani!!?? Yani serekali ije ikuuwe ww tigopesa kuweni na heshima kidogo basi
Ww jamaa kumbe ni mpumbavu kabisaHuna akili
Juzi wife amepata pa kunishikia anasema aisee uwe unawahi watu wanapotea....sikuwa na jibu zaid ya kukubaliana na hoja,...hali inatisha!!Hii hali sio nzuri, inaleta hofu sana
Njoo kule tumalizie mambo ya siwemaDah! Ama kweli pikipik sio usafr wa kuamin hata kidogo hasa hapo mjini, bora kupanda hata daladala ila pikipiki inakatisha ndoto za vijana wengi
Tunawahitaki sana watu wa namna hii kwenye nchi ya kiboya kama hiiAbu Mohammed al-Julani wa Hayat Tahrir al-Sham (HTS) anawasalimia
Huyu ndio mwenye jina la kituo cha goba kwa ulomi?Mfanyabiashara Daisle Simon Ulomi, aliyepotea tangu Desemba 11, 2024 amekutwa amekufa na mwili wake kukutwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala, jijini Dar es Salaam.
View attachment 3177965
Ulomi aliyekuwa akifanya biashara za fedha za mitandao ya simu maeneo yaa Sinza Kijiweni na Mwenge alipotea tangu 11 Desemba 2024.
Juhudi za kumpata Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro zinaendelea, baada ya simu zake kuita bila kupokelewa.
Akizungumza na Mwananchi leo Jumatatu, Desemba 16, 2024 baba mkwe wa Ulomi, Japhet Munisi amesema alipigiwa simu leo asubuhi na mke wa marehemu, akimjulisha kuwa amepata taarifa kuwa mwili wa mumewe uko hospitali.
Pia, Soma:
• Mfanyabiashara Ulomi apotea, familia na Polis wanamtafuta
• TRA: Hatuhusiki na kupotea kwa mfanyabiashara Daisle Simon Ulomi
• Polisi waanza kumtafuta Ulomi anayedaiwa kupotea
Unamfaham muhasisi wa haya??Pumzika kwa Amani Olomi.. Magufuli walikusingizia sana kuwa unateka watu na kuwaua haya Leo yako wapi
Huwezi kuniambia ni yeye maana sasa hivi Ameshafariki kitambo sana na mambo bado yanazidi kuwa mabaya.. !!!Unamfaham muhasisi wa haya??
Muhamishie hilo tusi bbkoWw jamaa kumbe ni mpumbavu kabisa
Unahisi!!??Kwann vifo vimekuwa vingi wakati huu? Kwann wanaoua hawakamatwi? Waliowahi kutekwa na kupigwa kisha wakasalimika walisema wametekwa na vyombo vya Dola wengine mpaka wakawataja na watekaji kwann tusihisi kwamba serikali ndio inahusika na unyama huu?
rejeeni kauli ya polisi juu ya jamaa harafu chagueni MojaKwann vifo vimekuwa vingi wakati huu? Kwann wanaoua hawakamatwi? Waliowahi kutekwa na kupigwa kisha wakasalimika walisema wametekwa na vyombo vya Dola wengine mpaka wakawataja na watekaji kwann tusihisi kwamba serikali ndio inahusika na unyama huu?
Simple tu hospitali inatoa jibu kuwa mgonjwa aliletwa akiwa taabani na wasamaria wema.Dah uchunguzi uanzie kwa walioupeleka mwili hapo hospitali, hii itatoa a lead ya walipoupata na mazingira gani then mambo yatajipambanua tu
Binadamu asiye na uchungu na uhai na damu ya mtu ni muovu, mwehu, mwenye laana na shetani. Chama hakina mbadala kwa uhai. Tusifurahie kifo chochote kwa utetezi wa chama. Akifa wa ccm au serikali uchunguzi ni haraka. Haki ya kuishi ni ya msingi kwa wote. Kabla ya kushabikia U-ccm au u-chadema hujui kama chanzo cha kifo ni ajali, madeni, dhuluma, serikali au ugoni. Lakini kwa maneno yako unahitimisha kuwa ccm ndiyo imemuua kwa kushabikia. Wajane na yatima wanakupa furaha gani.CCM ITAENDELEA , MNATUMIA VIFO KUPIGA KAMPENI KWA SABABU HAKUNA MLICHOFANYA MIAKA MLIYOKUWA BUNGENI. NATAMANI HILI LICHAMA LA CHADEMA LIFUNGIWE KUWE NA CHAMA KIMOJA. MAMA SIMPINGI AU KUMKOSOA ILA KUWAACHIA HAWA MAJAMAA WA CHADEMA KUFANYA KAMPENI NAHISI KWA UPANDE WANGU SIO JAMBO JEMA...
Nimekaa pale....Dah uchunguzi uanzie kwa walioupeleka mwili hapo hospitali, hii itatoa a lead ya walipoupata na mazingira gani then mambo yatajipambanua tu