TANZIA Mwili wa Ulomi, Mfanyabiashara aliyedaiwa kupotea wakutwa mochwari Mwananyamala

TANZIA Mwili wa Ulomi, Mfanyabiashara aliyedaiwa kupotea wakutwa mochwari Mwananyamala

Kwa ninj kwenye utekaji na kuuliwa asilimia kubwa nj watu wa Kaskazini na wachaga!!?Maana saa nyingine ukute ni maagizo ya waganga wa watu fulani.Ila shauri la Mungu litasimama tu.
 
Vifo vingine vinatokana na dhuruma kuiba wake za watu nk. Sidhani kama kufikiria serekali ya fisiemu inauwa hawa watu wote ni sahihi
let be reasonable guys. Serekali haiwezi kuuwa watu hovyo ikuuwe ww nani!!?? Yani serekali ije ikuuwe ww tigopesa kuweni na heshima kidogo basi
Ilete majibu sasa ya chanzo cha kifo chake.

Gavo tukufu haiwezi kukubali kuchafuliwa kizembe hivi..
 
Vifo vingine vinatokana na dhuruma kuiba wake za watu nk. Sidhani kama kufikiria serekali ya fisiemu inauwa hawa watu wote ni sahihi
let be reasonable guys. Serekali haiwezi kuuwa watu hovyo ikuuwe ww nani!!?? Yani serekali ije ikuuwe ww tigopesa kuweni na heshima kidogo basi

Ngoja udakwe na wewe ndio utaleta hoja za kijinga. Mwizi wa mke wa mtu ndio apigiwe simu na TRA.
 
Huna hoja unaharibu kuitetea serikali nijibu swali hili Kuna taratibu za kupeleka mwili hospital hao waliopeleka walikuwa ni akina nani kwanini polisi isiwataje mana polisi Ina uwezo kikatiba kuhoji swala Hilo ni swala la kujibu tu nani kapeleka mwili, ilikuwaje na kwanini
Mbona unadandia treni kwa mbele? Nani kaitetea serikali. Huoni mimi nilikuwa namjibu huyo aliyekuwa anaitetea serikali? Au umekosea ku quote?
 
Hali inatisha sana nani wa kutujibia haya yanayotendeka hapa nchini,mbona kila kukicha hali tete,Inatisha! Ngoja tusubiri majibu ya polisi sasa.
 
Inashangaza sana, yaani ungeokotwa porini au mbugani huko ingekuwa hakuna pa kuanzia ila hospital ya taifa, inajulikana mwili umetoka wapi na kifo kimesababishwa na nini.
Majibu yao yatakua yale yale mepesi, utaambiwa uliokotwa na wasamalia wema wakauleta hospital
 
Watanganyika, kataeni neno Mitano Tena!
B I A S H A S H A R A (ogopa hii kitu) kwenye mabiashara kuna Dhuluma, kudhulumiwa, kuibiana kwa namna mbali mbali, moyo wangu unanituma tu kwenye kudhulumiana!, tunaweza kudhani mambo mbali mbali na pengine kuituhumu serekali lakini ikawa sivyo kabisa, baadhi ya wafanya biashara pia huwa ni majambazi wakubwa na biashara kuwa kama kivuli tu.
 
Acha upuuzi kwenye masuala yanayohusu uhai wa binadamu. Abdul Nondo au Mzee Kibao walimdhulumu nani?? Haya maumivu yatamfikia kila mmoja kwa wakati wake.
 
Kwa kutumia polisi gani? Hio imeisha hio hakuna muendelezo hapo
Hivi watanzania tumelogwa? Mpaka lini hawa polisi watafanya tofauti na utaratibu unaopaswa mpaka kufikia hatua ya wananchi kukata tamaa kiasi hiki na kuwaacha wafanye watakavyo huku wananchi wakiwa wameinamisha vichwa chini kama kondoo?
Tunahitaji mageuzi mapema sana kwa mustakabali wa vizazi vyetu hakika nawaambia....
 
Back
Top Bottom