mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Ajali ya boda nini alipata
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajali ya boda nini alipata
😁kwa kweliSababu na siri gani za maana tunatekana na kutoana uhai wakati linchi lenyewe linajulikana ni masikini la kutupwa.
Ilete majibu sasa ya chanzo cha kifo chake.Vifo vingine vinatokana na dhuruma kuiba wake za watu nk. Sidhani kama kufikiria serekali ya fisiemu inauwa hawa watu wote ni sahihi
let be reasonable guys. Serekali haiwezi kuuwa watu hovyo ikuuwe ww nani!!?? Yani serekali ije ikuuwe ww tigopesa kuweni na heshima kidogo basi
Vifo vingine vinatokana na dhuruma kuiba wake za watu nk. Sidhani kama kufikiria serekali ya fisiemu inauwa hawa watu wote ni sahihi
let be reasonable guys. Serekali haiwezi kuuwa watu hovyo ikuuwe ww nani!!?? Yani serekali ije ikuuwe ww tigopesa kuweni na heshima kidogo basi
Mbona unadandia treni kwa mbele? Nani kaitetea serikali. Huoni mimi nilikuwa namjibu huyo aliyekuwa anaitetea serikali? Au umekosea ku quote?Huna hoja unaharibu kuitetea serikali nijibu swali hili Kuna taratibu za kupeleka mwili hospital hao waliopeleka walikuwa ni akina nani kwanini polisi isiwataje mana polisi Ina uwezo kikatiba kuhoji swala Hilo ni swala la kujibu tu nani kapeleka mwili, ilikuwaje na kwanini
Kwa nini mama yako siku hizi hauzi tena mnazi? Siku hizi amekuwa mama huruma mpaka zimezidi?Saliva alitakiwa afungwe jela ، anatoa habari za uongo, matusi, kejeli etc. Ila mama ana huruma zilizozidi. Mi nahisi lazima mama ashauriwe hawa majambazi na wachochezi wafungwe Ndani wapokonywe account zao
Assad Syria aliua lakini si huyo kaondoka na wale wauwaji wake wananyongwa na teyari kadhaa wameshatundikwa.Uko sahihi mkuu. Kuna accounts tokea wamwue yule mzee wa Chadema, humu zimepotea.
johnthebaptist, imhotep au nasema uongo?
Majibu yao yatakua yale yale mepesi, utaambiwa uliokotwa na wasamalia wema wakauleta hospitalInashangaza sana, yaani ungeokotwa porini au mbugani huko ingekuwa hakuna pa kuanzia ila hospital ya taifa, inajulikana mwili umetoka wapi na kifo kimesababishwa na nini.
B I A S H A S H A R A (ogopa hii kitu) kwenye mabiashara kuna Dhuluma, kudhulumiwa, kuibiana kwa namna mbali mbali, moyo wangu unanituma tu kwenye kudhulumiana!, tunaweza kudhani mambo mbali mbali na pengine kuituhumu serekali lakini ikawa sivyo kabisa, baadhi ya wafanya biashara pia huwa ni majambazi wakubwa na biashara kuwa kama kivuli tu.Watanganyika, kataeni neno Mitano Tena!
Yuko Chato kalala kamuamshe.JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Acha upuuzi kwenye masuala yanayohusu uhai wa binadamu. Abdul Nondo au Mzee Kibao walimdhulumu nani?? Haya maumivu yatamfikia kila mmoja kwa wakati wake.B I A S H A S H A R A (ogopa hii kitu) kwenye mabiashara kuna Dhuluma, kudhulumiwa, kuibiana kwa namna mbali mbali, moyo wangu unanituma tu kwenye kudhulumiana!, tunaweza kudhani mambo mbali mbali na pengine kuituhumu serekali lakini ikawa sivyo kabisa, baadhi ya wafanya biashara pia huwa ni majambazi wakubwa na biashara kuwa kama kivuli tu.
Hivi watanzania tumelogwa? Mpaka lini hawa polisi watafanya tofauti na utaratibu unaopaswa mpaka kufikia hatua ya wananchi kukata tamaa kiasi hiki na kuwaacha wafanye watakavyo huku wananchi wakiwa wameinamisha vichwa chini kama kondoo?Kwa kutumia polisi gani? Hio imeisha hio hakuna muendelezo hapo
Natubu mbele ya Mola wangu kwa kuhisi mkono wake unahusika kwenye yale na kuwaza mambo yangeisha aiseeJPM alisingiziwa mabaya mengi sana