Sisi wananchi wa kawaida tunachojali ni unafuu wa maisha, sio anaeuza ana rangi gani?Kati ya vitu vya kijinga serikali inaenda kufanya kwa watu wake ni kuua soko la Kariakoo kwa kuruhusu gulio la Wachina Kurasini ili wauze bidhaa zao bila kodi na kodi ikusanywe pale tu bidhaa inapotoka.
Hizi akili itakuwa kazitoa Mwigulu lakini ikitokea hili limefanikiwa basi Kariakoo haitakuwa na watu tena. Wachina tunawajua wanauza mpaka miwa wale na bei yao hutaweza kushindana nao kwa sababu wanapewa backup kubwa na Serikali yao.
Tuwe tunafikiria kwa kutumia kichwa.
Na pia serekali itakusanya mabilion ya shs, imagine suruali moja ambayo huuzwa 10,000, itakapokuwa inauzwa 5000/-na serekali kukusanya Kodi 3000/-,unadhani serekali itakusanya kiasi gani?Ni kweli, vitu vitashuka bei kiasi. Advantage kwa mlaji
Safi sana kama China imehamia kwetu maana na hela za kigeni zitaongezeka
Tena wapewe ekari 10,000 kabisa wajenge mji wao kabisa liwe soko kubwa Africa, na wanunuzi waje tu
Ni akili kubwa kwa wenye uelewa
Hapo ni hatariKati ya vitu vya kijinga serikali inaenda kufanya kwa watu wake ni kuua soko la Kariakoo kwa kuruhusu gulio la Wachina Kurasini ili wauze bidhaa zao bila kodi na kodi ikusanywe pale tu bidhaa inapotoka.
Hizi akili itakuwa kazitoa Mwigulu lakini ikitokea hili limefanikiwa basi Kariakoo haitakuwa na watu tena. Wachina tunawajua wanauza mpaka miwa wale na bei yao hutaweza kushindana nao kwa sababu wanapewa backup kubwa na Serikali yao.
Tuwe tunafikiria kwa kutumia kichwa.
kama watasababisha vitu viwe rahisi kwa mwananchi, wacha tu wachina waje. wafanyabiashara wetu watapata kushindana nao au kushirikiana nao. kuna shida gani hapo? serikali imefanya jambo la maana kabisa ili kuondoa monopoly ya wafanyabiashara wa kariakoo kujiamulia wapendavyo. na kama wachina watalipa kodi, kuna tatizo gani?Kati ya vitu vya kijinga serikali inaenda kufanya kwa watu wake ni kuua soko la Kariakoo kwa kuruhusu gulio la Wachina Kurasini ili wauze bidhaa zao bila kodi na kodi ikusanywe pale tu bidhaa inapotoka.
Hizi akili itakuwa kazitoa Mwigulu lakini ikitokea hili limefanikiwa basi Kariakoo haitakuwa na watu tena. Wachina tunawajua wanauza mpaka miwa wale na bei yao hutaweza kushindana nao kwa sababu wanapewa backup kubwa na Serikali yao.
Tuwe tunafikiria kwa kutumia kichwa.
Ingekua kweli mwenda china usingeuliza hivyoSehemu gani ya China mkuu niende huko?
Nafanya biashara ya kuuza nguo kwa takribani miaka 18 sasa, na ninaenda China mara kadhaa, please nielekeze hilo chimbo.
We ndiyo mjinga serikali ina akili biashara ushindani. Hakuna wafanyabiashara wezi km wa kariakoo, wanaibia serikali wanaibia wateja. Huwezi jua bei halali hata siku moja wame-collude hakuna ushindani. Halafu wamejaa wachaga wanabebana na wana siri kubwa sana. Tena serikali if any harakaKati ya vitu vya kijinga serikali inaenda kufanya kwa watu wake ni kuua soko la Kariakoo kwa kuruhusu gulio la Wachina Kurasini ili wauze bidhaa zao bila kodi na kodi ikusanywe pale tu bidhaa inapotoka.
Hizi akili itakuwa kazitoa Mwigulu lakini ikitokea hili limefanikiwa basi Kariakoo haitakuwa na watu tena. Wachina tunawajua wanauza mpaka miwa wale na bei yao hutaweza kushindana nao kwa sababu wanapewa backup kubwa na Serikali yao.
Tuwe tunafikiria kwa kutumia kichwa.
Kwani Kariakoo ikifa pakaibuka wengine s biashara zikaendelea na huduma zikapatikana kwa wananchi kwa bei rafiki kuna shida gani?Kati ya vitu vya kijinga serikali inaenda kufanya kwa watu wake ni kuua soko la Kariakoo kwa kuruhusu gulio la Wachina Kurasini ili wauze bidhaa zao bila kodi na kodi ikusanywe pale tu bidhaa inapotoka.
Hizi akili itakuwa kazitoa Mwigulu lakini ikitokea hili limefanikiwa basi Kariakoo haitakuwa na watu tena. Wachina tunawajua wanauza mpaka miwa wale na bei yao hutaweza kushindana nao kwa sababu wanapewa backup kubwa na Serikali yao.
Tuwe tunafikiria kwa kutumia kichwa.
Nimekuuliza wewe mjuaji unayejua sehemu ambayo nguo inauzwa 10,000 huko China na ikifika soko la kkoo inauzwa 30,000Ingekua kweli mwenda china usingeuliza hivyo
Usikute hii hasara ya nchi ni katika lile dili la kumuokoa Ridhiwani asinyongwe China pale alipokamatwa na makontena ya madawa ya kulevya. Sitoshangai kama Kikwete alihusika hapa, Ridhiwani kalitia hili taifa hasara sana eti leo kawa naibu waziri?
Acha ujinga wewe huna maarifa yeyote..Kati ya vitu vya kijinga serikali inaenda kufanya kwa watu wake ni kuua soko la Kariakoo kwa kuruhusu gulio la Wachina Kurasini ili wauze bidhaa zao bila kodi na kodi ikusanywe pale tu bidhaa inapotoka.
Hizi akili itakuwa kazitoa Mwigulu lakini ikitokea hili limefanikiwa basi Kariakoo haitakuwa na watu tena. Wachina tunawajua wanauza mpaka miwa wale na bei yao hutaweza kushindana nao kwa sababu wanapewa backup kubwa na Serikali yao.
Tuwe tunafikiria kwa kutumia kichwa.
Taratibu za ujenzi zimeanza na Mwaka huu kabla ya Desemba litakuwa tayari.Lile soko lililotakiwa kujengwa pale Ubungo kituo cha zamani cha mabasi limefika wapi?
Matapeli hao achana nao,eti soko litakufa,geuzeni maduka au stoo nk kwani biashara ni evolution ya ushindani.Sisi wananchi tunachotaka ni bidhaa kwa bei ya chini nyie madalali mtajijua dunia ni soko huria ,kariakoo walijaa Wachagga wezi wezi tu kuibia WATU wasiojua bei acha wachina wawavunde tena serikali iwahi haraka
USSR
Inapinga Kwa maslahi ya nani? Kama jambo Lina faida Kwa Nchi,who are they?Imepitishwa lini?
Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania ilipinga hili