Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

Wewe ndugu yangu fuatilia vizuri Joseph Kabila sio mtoto wa Lauren. Kula kwanza ushibe na ufuatilie mitandaoni. Kuna vitabu na hadi picha za Joseph na baba yake wa ukweli. Jose ni mtoto wa rafiki karibu na Marehemu Mzee Lauren Kabila. Halafu hivi unaadhani Kagame kasoma political science and public administration ? Angalia marais wetu wana PHD za kupewa. As long as usalama wa taifa wanahangaika na uhaguzi badala ya vitu muhimu. Tanzania tupo nyuma sana. Kilichotokea Rwanda iwe kengele ya kuamka na kuirudishia Tanzania heshima tuliyonayo zamani. Hatua ya kwanza ya kufanikiwa ni kutambua upo katika hali mbaya na inabidi uchukue hatua.
 
Nifuatilie nini TPDF ndugu yangu mimi naongea ukweli au nikuuulize Tanzania ya leo na ya 1980 ipi ina nguvu ? Jeshi lilikuwa zamani sio leo, nenda kambi za jeshi utafute discount store zao. Kuna kambi kubwa unakuta duka la jeshi hamna au kama lipo yaani mpaka unashangaa. Pita hapo Lugalo uone fremu zao walizojenga sijui zimeshaisha ? Maana kwa sasa sipo nchini.
 
Najua zaidi yako kabila mdogo baba yake ni mnyarwanda.
 
Nimetembea kukuzidi wewe Tanzania hii sijafika Pemba tu kulikobaki kote nimefika na hata kwa baadhi ya nchi za Africa nimetembea zaidi ya nchi 13 Africa hii. Alafu tofautisha TPDF. Na hizo chuki zako za kiuongozi mpaka unasema Rwanda wanaweza kuchukua Tanzania. Utachekwa ndugu fatilia kuhusu TPDF alafu urudi hapa.
 
Najua zaidi yako kabila mdogo baba yake ni mnyarwanda.
Sasa ulikuwa unabisha nini huko juu, Jose Kabila amewekwa. Ukifuatilia vizuri ndio utajua. Unajua nani alimsaidia Laurent kuchukua madaraka ? Je unajua kabla ya kifo chake Laurent alikuwa na mzozo na nani ? Je baada ya Jose kuwa rais huo mzozo aliumalizaje ?

Hata kama mtu ni adui yako lazima ukubali mtu ni genious aisee. Wanyarwanda wapo serikalini na wengine hadi kwenye bodi za taasisi kubwa. Sisi tunakazana kushangilia simba na yanga.
 
Sasa waambie hao mabwana zako wavamie Tanzania si wamevamia congo umeona wananguvu na ukaona wanaweza kuchukua na Tanzania. Unazungumza Lugalo kuwa na Flemu pale mjini?. Nenda PULAMBILI alafu vidharau vyako vya kitusi vikuishe kuhusu TPDF. Ndiyo uje uzungumze hapa. Nimekutajia sehemu moja tu siwezi kuweka vitu hapa jukwaani kwa kuipenda nchi yangu.
 
Ishu sio kutembea tu ishu ni kutambua tupo katika hali gani na kuikubali hii hali na kuchukua hatua . Usalama wa taifa badala ya kudeal na infiltration wana-deal na kuteka watu. Aisee tupo nyuma sana. Mtu anamnasa vibao Jaji anateuliwa kuwa mkuu wa wilaya, baadae mkuu wa mkoa na leo ni mkuu wa mkoa. Na Usalama wa Taifa upo ? Mpaka najiuliza wanamshauri nini Rais ?
 
Sasa kama Rwanda wana watu serikalini unadhani watashindwa kujua data za hapa. Hivi unajua waliokuwa wanamlinda Jiwe walitoka kwa Kagame ? Unakaa kaa tu bila kufuatilia nchi yako.Mimi navyokuwambia kagame anaweza kuichukua Tanzania sikutanii mtanzania mwenzangu. Ni suala la kuamua tu.

Hili lililotokea iwe kengele kwetu tuamke na tuchukue hatua.
 
Ishu sio kutembea tu ishu ni kutambua tupo katika hali gani na kuikubali hii hali na kuchukua hatua . Usalama wa taifa badala ya kudeal na infiltration wana-deal na kuteka watu. Aisee tupo nyuma sana.
Nakuuliza swali jepesi sana jibu kwa akili timamu na Kama haujui nyamaza. Unavyoongea hivyo. je Tanzania ilikua inapigana na Rwanda?. Kwanini useme wanaweza kuivamia Tanzania na kuchukua?. Maana unavyoongea Kama Tanzania ilikua inapigana na Rwanda na kupigwa. Pole sana hizo fikra za kitusi kuwaza maeneo ya watu zitakuja kuwatokea puani
 
Hii nchi huijui ndugu yangu ndio maana unaongea kwa kukurupuka.
 
Kibaya zaidi wanatumika kisiasa baada ya kushidwa , wanachofanya nikwenda kutoa pole kwa muanga mzanzibari kwa Agizo la raisi kana kwamba waliofikwa na madhira ayo ni wazanzibari tu kwanini Wasingetoa Habari ya kuwafariji wafiwa wote. Kwa nini nyumbani kwa raisi. Kwaiyo jeshi inaanza siasa??
 
ATanzania leaders should be bold like president Trump. If they are waiting sanctions from super power countries to work out miracle we are lying ourselves. What mult- billion dollars SGR construction mean to our country?? Our leaders should think way they may benefit from this ongoing crisis and act upon
 
Unataka na jeshi liache weredi wake liendeshwe na mihemuko ya mitandaoni?
 
Kuna kitu hakipo sawa! Kwa nini wanatuonesha taarifa ya kwenda kutoa polee saivi? Walikuwa wapi kutonesha miili ya askari wetu ilipokuwa inafika?

Au ni kwa sababu ya kelele za sisi wananchi baada ya kuona Jeshi letu halitoi taarifa kwetu? Hawaoni kutotupa taarifa kwa wakati kunatufanya tushindwe kujua issue ni nini hasa ukizingatia Wanyarwanda wanaendesha sana propaganda hasi dhidi yetu kwenyw mitandao ya kijamii?
 
Inaniuma sana kuona nchi yangu imefikia hapa kuna kipindi tuliheshimika sana kwa sababu ya Nyerere. Yaani tunadharaulika sana, na nchi inatumika sana kwa maslahi ya viongozi wasio na maono. Kiufupi hatuna jeshi zuri na bora kama zamani.
 
Kaka eeee watu wanashindwa kujua kitu kimoja.
Nchi yoyote kukiwa na corruption( ufisadi na rushwa) taasisi za serikali zote lazima ziwe mbovu tuu.

Kwa hapa Tanzania watu wanafanya analysis ya majeshi duniani wanatukadilia kuwa jwtz Kuna active personal ktk jeshi letu ni 27000 tu.
Lkn tuna Budget ya USD billion 1.6 na ushee kwa mwaka.
Angola Wana active personal 110,000
Budget ya ni inakadiliwa mwaka 2023 ni 1.6 kama yetu.

Rwanda Wana active personal 33,000 ila budget Yao ni USD million 187.
Yani sisi tumewazidi mara 12.

Ila sisi tuna wanajeshi 27,000 wao 33,000.
Ndivyo wanavyotukadilia sasa ndo ushangae pesa zote hizo zinaenda wapi.
Maana sisi huku kwentu ndege za vita zote zile het ni za zamani sana. Zipo out of service hata waliotengeneza spear tuu hawatengezi ni za zamani.

Air defense system zetu zote ni za zamani.

Mizinga yote ni ya zamani hatuna mizinga mpya hapa bongo.
Mlrs zote ni za zamani BM 21, urgan BM 27 , lkn Kuna Chinese A 100 ambayo wachina wenyewe hawatumii coz walisema inapangufu mengi.

Sasa budget yote hio inaenda wapi.
Tujiulize hilyo kwanza
 
Bora wewe umeongea ndugu yangu watanzania wengi wanajua uzalendo ni kutetea ujinga wa viongozi wasio na maono.
 
huoni mijengo ilioshushwa mbweni JKT kule? huko ndiko fedha zinakoenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…