Mwita Waitara anusurika kipigo cha mbwa mwizi Mwanza

Baada ya kuutangazia Ulimwengu kuwa kuna mtu kanusurika kupata kichapo, wakati wowote mnaweza kutakiwa kwenda kujieleza kama sio kuomba radhi

Huu ni utabiri tu jamani, muda ndio utathibitisha.
Siku hizi ITV wakati mwingine wanasikitisha sana
 
Hao wote kesi ya uhujumu uchumi inawahusu awawezi ujumu serikali pendwa inayoogopwa Hadi na mabeberu
 
Naibu waziri wa Tamisemi, anausurika kupokea kichapo kutoka kwa wafuasi wa Bwana Bwire Meya ( mkurugenzi wa shule za Alliance) wa huko jijini Mwanza.



Hii migogoro ya Ardhi wamuachie Lukuvi.

Source ITV Habari
Wangemtandika kabisa
 
Uhuru wa vyombo vya habari umeminywa sana awamu hii, bora watakiwe kuomba radhi kuliko......
 
Wangemtwanga vichwa kabisa akaongeza kuvimba usoni
 
Mimi nilikuwepo mbona sijaona huo mnusuriko wa kichapo? Bavicha mnafeli wapi?
Wewe na uvccm wenzako tunawajua kuwa ni kina Thomaso, hata video tumewekewa lakini bado unaleta ubishi wako wa kindergarten
 
Naibu waziri wa Tamisemi, anausurika kupokea kichapo kutoka kwa wafuasi wa Bwana Bwire Meya ( mkurugenzi wa shule za Alliance) wa huko jijini Mwanza.



Hii migogoro ya Ardhi wamuachie Lukuvi.

Source ITV Habari
Video hii hapa Waitara akitimua mbio
 

Attachments

  • Weka neno fupi.. ( 352 X 640 ).mp4
    4.2 MB
They were not supposed to have the harsh heading like that..
 
Hawa wananchi wanapata wap ujasir wa kuleta fujo..mbele ya WAZIRI?.
 
Yaani amekimbizwa na wanawake 3 tuu, amezoea kuwaonea wanaume wa dar, kweli wsotara ndina kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…