Mwita Waitara anusurika kipigo cha mbwa mwizi Mwanza

Mwita Waitara anusurika kipigo cha mbwa mwizi Mwanza

Hao wote kesi ya uhujumu uchumi inawahusu awawezi ujumu serikali pendwa inayoogopwa Hadi na mabeberu
 
Naibu waziri wa Tamisemi, anausurika kupokea kichapo kutoka kwa wafuasi wa Bwana Bwire Meya ( mkurugenzi wa shule za Alliance) wa huko jijini Mwanza.



Hii migogoro ya Ardhi wamuachie Lukuvi.

Source ITV Habari
Wangemtandika kabisa
 
Uhuru wa vyombo vya habari umeminywa sana awamu hii, bora watakiwe kuomba radhi kuliko......
 
Mwita Waitara alikwenda kukagua ujenzi wa Zahanati ya maina na wananchi wakamlalamikia mkurugenzi wa Allience ambaye ni diwani mh Bwire.

Mwita Waitara alijaribu kumtetea Bwire kuhusu kuvamia kiwanja cha wazi ndipo wananchi wenye hasira wakaanza kumxomea, kumkejeli na kumtukana na wengine wakaanxa kumsogelea ili wampe kichapo ndipo Naibu waziri akatoka mkuku huku akisindikizwa na mayowe ya huyo...... huyo...... huyoooooooo.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Wangemtwanga vichwa kabisa akaongeza kuvimba usoni
 
Naibu waziri wa Tamisemi, anausurika kupokea kichapo kutoka kwa wafuasi wa Bwana Bwire Meya ( mkurugenzi wa shule za Alliance) wa huko jijini Mwanza.



Hii migogoro ya Ardhi wamuachie Lukuvi.

Source ITV Habari
Video hii hapa Waitara akitimua mbio
 

Attachments

  • Weka neno fupi.. ( 352 X 640 ).mp4
    4.2 MB
They were not supposed to have the harsh heading like that..
 
Hawa wananchi wanapata wap ujasir wa kuleta fujo..mbele ya WAZIRI?.
 
Yaani amekimbizwa na wanawake 3 tuu, amezoea kuwaonea wanaume wa dar, kweli wsotara ndina kweli kweli
 
Back
Top Bottom