Rapa Kanye West Anasema kwamba Yanayofichuka Kwasasa kuhusu Rapa Diddy alishawahi kuyasema miaka miwili iliyopita ila Akaitwa Kichaa. Anasema aliyokua anafanya P. Diddy yanatokana Masharti Ya Jamii Ya Siri (Illuminati) Inayomuongoza.
“Mfumo Wao Ni Rahisi Tu, Kwanza Wanakupa Nguvu Ili Waweze Kuku-Control Na Pale Watakaposhindwa Kuku-Control Wanakupoteza Na kukunyang’anya Kila Kitu”
West Ametaja Pia Baadhi Ya Mastaa Wanaongozwa Na Illuminatai Akiwemo Meekmill, Diddy, Jayz, Beyonce, Dr. Dre N.k
“(Illuminat) Wana Hasira Juu Yangu Kwasababu Wameshindwa Kuni-Control. Wanawaweza Kum-Control Jay-Z Na Beyonce, Diddy Na Kila Mtu Lakini Sio Mimi. Wanataka Mimi Niwe Kanye West Lakini Mimi Ni #YE. Mtu Pekee Anayeweza Kuni-Control Na Kunivunjia Heshima Kama Akitaka Ni Mungu Tu”
“Mama Yangu Leo Hii Hayupo Kwasababu Walimtoa Kafara, Michael Jordan Alimtoa Kafara Baba Yake, Dr. Dre Alimtoa Kafara Mtoto Wake Wa Kiume”
“Kama Ukiwa Hollywood, Unatoa Kafara Nyingi Ili Tu Wakupe Nguvu, Umaarufu Na Pesa Halafu Wanaku-Control Unakuwa Chini Yao. Mungu Ananipenda Na Ndiyo Maana Nilimrudia Na Kuwa Mkristo”.
“Nilipokataa Kuwa Chini Yao Hawakuwa Na Chochote Cha Kutumia Dhidi Yangu Na Badala Yake walichukua Kila Kitu Nilichonacho Ikiwemo Dili La Adidas. Baada Ya Kuchukua Kila Kitu, Jarida La Forbes Lenye Chuki Dhidi Yangu Lilikuwa La Kwanza Kuchapisha Taarifa Kuwa (Utajiri Wa Kanye Ni Dola Mil 400), Na Niliishia Kucheka Tu Kwasababu Mimi Bado Ni Bilionea. Yesu Ni Mfalme Na Mungu Ananipenda, Hivyo Nasema Ukweli Huu Ikiwa Mungu Yupo Upande Wangu Basi Hakuna Kitu Kitanitokea” - Kanye
Kwasasa Diddy Anaandamwa Na Kesi Za Kingono Mahakamani Ambapo Amefikia Hatua Ya Kuuza Mali Na Nyumba Zake Ili Kumaliza Misala Hiyo Inayomkabili.