My confession: Justin Bieber kuhusu P-Diddy

My confession: Justin Bieber kuhusu P-Diddy

polisi walivyooina vilainishi wakakimbia wenyeweeeee
 

Attachments

  • 1727211417222.jpg
    1727211417222.jpg
    326.8 KB · Views: 9
Ngoja kwanza, Hizo kafara zinatolewa vipi?

Huyo mtu anaye tolewa kafara anauwawa vipi?

Au wanamteka kisha kumuua?
mwanangu Infro mimi huwa nakuafiki vingi lakini tunatofautiana pointi ya uchawi.
babu believe me uchawi upo.

nimefanya kazi za kitumwa kwa mabosi. bro acha tu. nimeshuhudia mambo machafu sana ya wenye pesa. acha kaka. hii dunia ni ya kipuuzi sana.

ambayo sitasahau ni mtoto mchanga alifukiwa akiwa hai nashuhudia. nazi inapasuliwa anatoka mbuzi. babu hii dunia ina mazito. ukiwa kwenye harakati zisizo rasmi unapata kuona mambo ya ajabu sana ya dunia.
 
Rapa Kanye West Anasema kwamba Yanayofichuka Kwasasa kuhusu Rapa Diddy alishawahi kuyasema miaka miwili iliyopita ila Akaitwa Kichaa. Anasema aliyokua anafanya P. Diddy yanatokana Masharti Ya Jamii Ya Siri (Illuminati) Inayomuongoza.

ā€œMfumo Wao Ni Rahisi Tu, Kwanza Wanakupa Nguvu Ili Waweze Kuku-Control Na Pale Watakaposhindwa Kuku-Control Wanakupoteza Na kukunyang’anya Kila Kituā€

West Ametaja Pia Baadhi Ya Mastaa Wanaongozwa Na Illuminatai Akiwemo Meekmill, Diddy, Jayz, Beyonce, Dr. Dre N.k

ā€œ(Illuminat) Wana Hasira Juu Yangu Kwasababu Wameshindwa Kuni-Control. Wanawaweza Kum-Control Jay-Z Na Beyonce, Diddy Na Kila Mtu Lakini Sio Mimi. Wanataka Mimi Niwe Kanye West Lakini Mimi Ni #YE. Mtu Pekee Anayeweza Kuni-Control Na Kunivunjia Heshima Kama Akitaka Ni Mungu Tuā€

ā€œMama Yangu Leo Hii Hayupo Kwasababu Walimtoa Kafara, Michael Jordan Alimtoa Kafara Baba Yake, Dr. Dre Alimtoa Kafara Mtoto Wake Wa Kiumeā€

ā€œKama Ukiwa Hollywood, Unatoa Kafara Nyingi Ili Tu Wakupe Nguvu, Umaarufu Na Pesa Halafu Wanaku-Control Unakuwa Chini Yao. Mungu Ananipenda Na Ndiyo Maana Nilimrudia Na Kuwa Mkristoā€.

ā€œNilipokataa Kuwa Chini Yao Hawakuwa Na Chochote Cha Kutumia Dhidi Yangu Na Badala Yake walichukua Kila Kitu Nilichonacho Ikiwemo Dili La Adidas. Baada Ya Kuchukua Kila Kitu, Jarida La Forbes Lenye Chuki Dhidi Yangu Lilikuwa La Kwanza Kuchapisha Taarifa Kuwa (Utajiri Wa Kanye Ni Dola Mil 400), Na Niliishia Kucheka Tu Kwasababu Mimi Bado Ni Bilionea. Yesu Ni Mfalme Na Mungu Ananipenda, Hivyo Nasema Ukweli Huu Ikiwa Mungu Yupo Upande Wangu Basi Hakuna Kitu Kitanitokeaā€ - Kanye

Kwasasa Diddy Anaandamwa Na Kesi Za Kingono Mahakamani Ambapo Amefikia Hatua Ya Kuuza Mali Na Nyumba Zake Ili Kumaliza Misala Hiyo Inayomkabili.
YE haogopi bifu kwa aliowataja? Mbona kama hatari sana kwake.
 
Ndio maana mainstream media za ulimwengu walitumia nguvu nyingi sana kudhoofisha ile taarifa na scandal ya kuwepo kwa satanic cult ya sexual trafficking inayohusisha viongozi na waliowahi kuwa viongozi wa serikali ya Marekani Kwa watoto wadogo aka pizzagate ambapo vigogo wakubwa pale Marekani kama akina Clinton ,Bush ,Dick Cheney nk walihusishwa ,enzi zile za Trump
Na ndio maana leo hii kila ukigoogle unakutana na maneno kwamba pizzagate ni conspiracy theory , kitu ambacho si kweli , wanatumia nguvu kubwa mno kuficha hizi skendo
 
yaaani ukisomaa hizi post za didy ukilalaa kifudifudi tu dk 10 unashtuka inalalia upandeee aiseeee imeshtusha wengi sana

Hata watoto zenu wakikua angalien. age zao hata kama wanaume wengine sio wa kulaza pamoja na mpaka uje jua wameshahondomolana sana tu

M namtoto wa mama mdogo tulikuwa msiba mmoja wakazima taa akaamka anamshika nduguyake kabisa nikaliamsha na dogo nae akanza kulalamika...

mwisho akaja dar akawa tajiri sana hakuna anaejua siri malori manne dalala kama 5
gafla kagorofa nkakutana nae Juliana club mwaka Jana kaka upo kimya sana wapi hioo niko kwa wasure mbezi beach nimenunua gorofaa karibu sanakaka

nkamwambia aise kumbe tumepishana m nilijenga we ulinunua sehemu hizohizo

akataka kuanza kumchunguza ajee weeee....nkasema anataka kuntia kafara nn

May alamamatwa na madawaa kibao ya kuvyale

Mwaka huu wakamtunuku miaka ya rekelly

Aisee usitaman mali za jirani yako wala ndugu zakoo ukijua walivuozipataaa

dogo alizaa wanae 3 wawili akazika mwaka unafatana..hope haka kamoja Mungu kamwekea utajiri mpaka baba atoke ashakuwa tajiri

Kama m namalizana nae kabisa huko jela wammalizie
 
Back
Top Bottom