Judah Tribe
Senior Member
- Sep 1, 2024
- 159
- 594
KWA HIYO UKAENDA KUMNUNULIA KILA MMOJA TV YAKE 😁😂 MAISHA YA JF NITAAMBIWA SASA HIVI TAFUTA HELA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleee dear,Siwezi kuwarudisha hadi wazazi wao warudi,wamesafiri nje ya Tz na mimi mwenyewe ndo nilisema waletwe kwangu coz navipenda ila nimejua hawa inabidi mapenz ya mbalimbal,wakichukuliwa sitarudia tena kuvichukua
.
Hongera kwa kuwajali watoto wengine, kuhusu malezi tunatofautiana kuna wengine mtoto hajawahi kuguswa kabisa hata afanye kosa gani anachukuliwa mtotoMy week end is wacko.
Kuna watoto wazuri wa rafiki yangu watakaa na mimi mpaka katikati ya Nov. ila sijui nisemeje nisionekane wicked aunty ila wamekuja J nne na tayari niko super stressed na Nov. naiona mbali sana
Stress zilianzia kwa jinsi mtoto wangu hataki ku share Tv yake na wenzie sbb wenzie ni wadogo na vitu wanavyopenda kuangalia ni tofauti.
Nikatoa amri waangalie kwa kupokezana ila haikusaidia watoto coz bado hao madogo wageni mmoja wa kike wawili wa kiume.Vitu anavyopenda kuangalia wa kike hivi vijamaa viwili havipendi fulu kugombana.
Yaani ni mashitaka kila dakika.Huyu wa kwangu analalamika madogo wanaharibu vitu chumbani kwake na madogo wanalalamika kaka anawapiga na kuwafukuza chumbani kwake wasiangalie Tv.
Nikasema hizi stress zitaisha kila mtoto akiwa na tv chumbani kwake,nikatuma mtu akaninunulie Tv ndogo 4,zikaja zikafungwa kila mtu akafurahi nami nikasema nitapumua sasa ila nimejidanganya😃😃.eti baada ya kila mtu kupata Tv yake na interest ya kuangalia Tv ikaisha.Yaani madogo hawana muda na hizo Tv.Hela zangu zimepotea bure😭😭.
Hao wawili wa kiume ni mapacha wako very smart ila ni WATUNDU sana.Wamekaa siku mbili tu ila wameshaharibu vitu vingi halafu sasa vikiharibu kitu ukifoka unasikia “aunty you don’t look cute when you are angry” au “my daddy will buy you another one”
Leo asubuhi hivi vi twins vimefanya kitu cha hatari sana nikawatisha kuwa leo nawachapeni,nikaagiza niletewe fimbo mbili kubwa.Kumbe watoto wa watu hawajawaji kuchapwa wala kutishiwa fimbo.Kale ka kike kananiambia “aunty ukiwachapa baba yangu atakuchapa na wewe maana baba kasema mama akituchapa atamchapa na yeye” nikamwambia mimi simuogopi baba yako na fimbo zikija nawachapa kaka zako.
Fimbo zimefika ile watoto wanaziona tu waliteteeka hadi kamoja kakajikojolea na kengine kakatapika kwa panic.Nilishangaa sana maana mie wa kwngu keshakula sana mikwqju.Sasa nikajiuliza hata shule havichapwi hadi vitetemeke vile!
Ikabidi niache mkwara nianze kuvibembeleza na kutupa fimbo.Kale kakike kalivyoona nimetupq fimbo kakanimbia “usingenisikiliza baba yangu angekumaliza”
Huwezi kuamini hawa watoto eti kutishiwa fimbo tu wamelia zaidi ya masaa mawili.Na wanalia kwa kupokezana,huyu akinyamaza ukisema sasa wamenyamaza unashangaa mwengine kapokea .
Nimebembeleza nimechoka hadi na mim nikaingia chumbani kwangu kulia.Watoto hawa sijui baba yao uchumi ukiyumba itakuwaje coz wakitaka kitu lazima wapate la sivyo atalia siku nzima.Akitaka pizza kwa aman yako utahakikisha pizza imefika.Naona ajabu sbb mwanangu nikisema leo ni chai na kiporo cha ubwabwa kanakula.Mwanangu nikisema hata chai na ugali atakula with a smile on his face.Asubuhi ya kwanza the way vilitupelekesha ningekua na sukari ingepanda.Bodaboda walikua wanapishana getini kwetu coz kila tunachotumia sisi kwa breakfast walivikataa na kila kinacholetwa anakwambia sio hiyo ana favorite yake na lazima apate hiyo,unamrudisha boda ikija brand tofaut hali na hapo wako watatu na kila mmoja ana favorite yake.Ukisema uvikazie vitoto vya watu vitashinda njaa nafsi inakataa basi ni kuhangaika hadi kila mmoja apate anachotaka.
Hivi wazazi mnaodekeza watoto wenu faida ni ipi?
Mna upendo sana kushinda sisi wengine au?View attachment 3102518
Hahah kwani hujaona kiambatanishi hapo😂KWA HIYO UKAENDA KUMNUNULIA KILA MMOJA TV YAKE 😁😂 MAISHA YA JF NITAAMBIWA SASA HIVI TAFUTA HELA
Wanyooshe wakiwa kwako wajue namna ya kuishi bila vurugu.Ngojea nione nitajaribu polepole.
Hlf vikiongea na mama yao wanasema wanampenda aunty hawataki kurudi nyumbani😁 kirohon nasema mtoto hata akukasirishe vipi ni ngumu kumchukia.Hata havijui kama vinanipa stress masikin na ninataman waondoke nipumur😁
🙏🏼🙏🏼 Asante mkuu.Pole Sana..yani Naelewa unachopitia sasa Mimi nashauli pia kuhusu suala la wazazi humu ndani tuzoeshe watoto wetu kwenda Shule kwa usafiri wa kawaida
Mimi ilishanikututa siku moja sitasahau na Siwezi msimulia mtu Anaenijua ni kwamba toka Mwanangu kazaliwa Alikuwa hajawahi
kupanda Dala dala mpaka Amefika Darasa la Tano
sasa Siku moja nikasema ngoja niende nae tu tupande Dala dala nilikuwa naenda kumnunulia vitu vya Shule Aisee ile tumepanda tukakuta nafasi zimejaa msongamano..jasho..kukanyagwa Aisee Alipiga kelele Dala dala nzima wananishangaa tu Sababu Alikuwa Anadai Ashuke mbona niliona Aibu Mimi toka hapo Asubuhi Alikuwa Anapelekwa na gari Shule Saa ya kuludi ni Dala dala na Nilimwambia kabisa Akae Akijua Labda tu Mvua Inyeshe Nahisi hichi kituko kuna hata wazazi kilishawatokea ila ni Aibu kusimulia kabisa.
Ni kweli ila sio wa kwangu.Mwisho wa siku ndo wanakuomba kitu unawaambia hauna, Wanajiongeza halafu mnakuja kulalamika watoto wanalawtiwa sana sikuhizi.
Why not mkuu?KWA HIYO UKAENDA KUMNUNULIA KILA MMOJA TV YAKE 😁😂 MAISHA YA JF NITAAMBIWA SASA HIVI TAFUTA HELA
Ni ujinga kuwaendekeza watoto. Hawataweza ishi na mtu yeyote.Honestly,nawaonea huruma sana hawa watoto.
Sijawahi ona watoto wamedekezwa kiasi hiki.
Sijui wazazi wenye haya malezi huwa wanawaza nini?
Umeongea vyema sana mkuu.Hongera kwa kuwajali watoto wengine, kuhusu malezi tunatofautiana kuna wengine mtoto hajawahi kuguswa kabisa hata afanye kosa gani anachukuliwa mtoto
Sisi wengine, wazazi wetu walijua kutofautisha kati ya utoto na ujinga
Haiwezekani mtoto unampa chakula anajifanya kwenda kula chumbani afu anakimwaga kisa ugali au mboga ni kitu asichopenda au unaacha hela anapita nayo
Aisee nilichezea sana mikwaju kwa ujinga ila sijawahi kuadhibiwa kisa utoto
Vitu kama umeenda kucheza unarudi mavumbi mwili mzima, hizo nilikuwa natishiwa tu kisha adhabu nayopewa ni kwenda kuoga
Kina junia ni hatari.Akina junior hao.
Sawa pesa si zipo acha watumie.
Ila sie wengine hatujalelewa hivyo.
baba kila siku akirudi uwa anarudi na bakora ya dharura.anajua mwamba huko atakuwa kaharibu tu.
Na kweli akifika nyumbani mashitaka kwa mama wa kufikia.
Kabla ya kulala zinatembea kwanza bakora.
Kuna kitabu mpaka leo sikipendi. Kile cha "SOMA KWA HATUA"
KIMENILIZA SANA KILE
Kosa lako la kwanza,hukuuliza hawa watoto wanapendelea nini kwao hizi taarifa unapata Kwa wazazi wake.My week end is wacko.