Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?

Hii dunia yenyewe tunayoishi sio ya Mungu? Yesu sio Mungu?
Sisi sio 'watoto wa Mungu' according to bible?
Kwanini Yesu hakuja na fimbo kulazimisha watu wamwamini?

Hiyo sheria ya waheshimu baba yako na mama yako ni ya kiimani, ukishaamini hiyo imani ndio unapaswa ufuate hiyo sheria.
Sasa kasheshe ipo hapo kwenye kulazimisha mtu aamini hiyo imani.

Na wewe leo hii baba yako akikupigia simu akasema Robert kesho twende tukatoe kafara za watu kwa mizimu utaenda kwasababu "waheshimu baba yako na mama yako?"
 
ishu sio mimi kuamini au kutoamini, huo ni uamuzi wangu binafsi kwasababu nimeshazidi 18 na nina uwezo wa kupambanua.

ishu ipo kwenye uhuru wa kuabudu. Kwanini tulazimishane?
Uwezo wa kupambanua upate chakula ule huna una uwezo was kupambanua imani tu kifupi una pepo wewe ..I used to be like you
 
Cheers, ila sasa kasheshe ni hii ya kwenda kila jumapili saa 2 hadi saa 8.
Inaboa kinoma, especially when you can read between the lines, and see through the lies. Yani sadaka inaombwa kama nini mara ooh "Mungu atakubariki, Mjaribu mungu kwa kumtolea" halafu wanakula wao.
Anyway kusema ukweli naenda tu lakini nikiwa pale kanisani napata mental torture kubwa sana... Pamoja na simu kunisaidia kunidistract lakini bado haitoshi.
Anyways wacha niendelee bana kufuata ushauri wako, lakini kwa hii case sidhani kama watakuja kuelewa, maybe nikijitegemea ila as long niko hapa hawatawahi kuelewa.
 
Mama yako anataka uwe mcha mungu ukue katika maadili mema
Kingine unakaa kwake fanya kama amri na maagizo mengine siku ukiwa kwako ndo utaamua wewe cha kufanya
 
Sasa kama imani yangu haimhusu...nikiwa siamini Mungu naenda kanisani kufanyaje?
 
Na dini hizi ndio zimehusika kama tools za uharibifu na maovu yafiyoelezeka kuliko kitu kingine toka dunia hii iumbwe tokea kwenye zile Spanish inquisitions Kule Europe under Roman Catholic , crusades ,witch hunts Kule America , Colonialism na slavery na genocides ,vita vya kidini ,terrorism in jihad vilikuwa justified na dini hizo hizo , kwamba tunaenda kuwatawala ,kuwaua savages na kuwacivilize .
Hadi leo hizo dini zimeendelea kutumika kama tools za kuinstill racial superiority , unakuta jitu limeandika picha ya Cesar Bogare ,au anaabudu lisanamu la bikira Maria mzungu ,wtf ,au anaenda kusujudia makaburi ya mtume muhamad takataka gani sijui
 
Kama kwa mwamposa Ni heri uchukue jembe ukalime Ila Ni Kama Ni eagt ,fptc,tag ,klpt nenda,Kweli Mungu yupo na anasikia maombi na anabariki,na kimsingi Mungu ananisaidia vitu vingi na nikiweza kusikia sauti yake siku moja.uzinzi na tamaa za kidunia zisikuaminishe kuwa hakuna Mungu
 
Tayari umeharibikiwa kwa kiwango kikubwa,Mungu yupo Ila Ni wapumbavu tuu peke yao ndio hukataa uwepo wake
 
ishu sio mimi kuamini au kutoamini, huo ni uamuzi wangu binafsi kwasababu nimeshazidi 18 na nina uwezo wa kupambanua.

ishu ipo kwenye uhuru wa kuabudu. Kwanini tulazimishane?
Sasa si ukaishi kwako kwanini bado unakaa kwenu na tayari una 18?
 
Ndio haya haya yanavaa mabomu na kuenda kujilipua kuua watu flani kisa si watu wanaoamini hilo li dini lake , yaani kama kuna upuuz na biggest scam Chini ya dunia hii tena ambayo ni so powerful na inalindwa na wahanga wayo basi ni dini .
 
Insanity is popular right now.
 
Asiyesikia la mkuu...
Waheshimh baba yako na mama yako

Kijana kuna faida nyingi kujihusisha na ibada

Utaelewa tu lakini..zipo siku
 
Insanity is popular right now.
 
Huna chochote unachojua,Nina hakika Mungu yupo na anasikia,wewe kwa elimu yako uchwara unajikuta kuwa unajua kila kitu,wewe unadhani unaakili kushinda akina newton
 
Sasa si uende unakoamini
Au ushakua mpagani mwana wee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…