Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?

Uwezo wa kupambanua upate chakula ule huna una uwezo was kupambanua imani tu kifupi una pepo wewe ..I used to be like you
Nani kakuambia sina uwezo wa kupambanua nipate chakula?
Hata kama basi tuseme sina, inamaana nikikosa huo uwezo basi automatically nakosa na uwezo wa kupambanua imani?
Mbona unalinganisha vitu ambavyo havilinganishiki?
Hivi dini imekula asilimia ngapi ya ubongo wako?
 
SAFII SANAA[emoji23][emoji23][emoji23].

Kataa kabisa, usikubali wakulazimishe mambo usiyoyataka,
Hao wazazi waambie serikali haina dini, hivyo hata raia wana haki ya kuishi kulingana na wanachokiamin bila kubugudhiwa na mtu yeyote yule, na wakiendelea kukushurutisha wafungulie page za Kitabu cha sheria na katiba ya nchi wajionee[emoji23][emoji23].

Wakishindwa kukuelewa hapo basi waambie Dini isingekuwepo wangeabudu nini?[emoji23] huyo Mungu wanaempigia makelele makanisani waambie wakuoneshe ni wapi alisema ktk biblia wakutane makanisan? Na je ni kanisa lipi? Na dhehebu lipi? Na siku ipi? Wakikujibu maswali haya kwa mujibu wa biblia, basi kubaliana nao, lkn kwakuwa wao wenyewe pamoja na wachungaji wao hawana uwezo wa kujibu maswali haya, basi achana nao, usifuate ushauri wao.

Ni bora mkosane lkn si kukuforce uamini kitu usichotaka, mimi pia muhanga wa hili tatizo, walitaka mpka kunitenga lkn sikujari, nilikaza fuvu, siwezi kumuabudu Mungu aliyeletwa na watu weupe kwa manyanyaso na mauwaji ya watu weusi, kwanza imani yenyewe yakibaguzi.

KAZA FUVU HAKUNA KURUDI NYUMA
 
Mama yako anataka uwe mcha mungu ukue katika maadili mema
Kingine unakaa kwake fanya kama amri na maagizo mengine siku ukiwa kwako ndo utaamua wewe cha kufanya
Kukua nimeshakua na Maadili mema tayari ninayo. Yani mimi kimaadili nawazidi kaka zangu na dada zangu wanaoshinda kanisani..

Anyways ngoja tufanye kama amri jambo ambalo sio la amri (kuamini)
 
Thankfully wenzetu wanatoka huko, which means its possible oneday kuachana na haya matakataka.
Europe, USA, Russia, China wanaachana na huu upuuzi. Tumebaki watawaliwa tu Middle East na Africa ndo tunapambana nao sikuhizi.
 
Kabisaaaaa kumbe tuko wengi aseeeeh.
 
Kuna tofauti gani ya mwamposa na Eagt?
Kanisani hakuna uzinzi na tamaa za kidunia?
 
Imani sio Dini wa dhehebu ila dhehebu na dini lazima imani iwepo.
Ntamfundisha imani ila sio dini wala dhehebu
Imani ipi na haushiriki msikiti wa kanisa
Ama mtafungua lenu nyumbani😅
Ngoja mzae wa kwenu afu tuwaone

Imani pia ni for social reasons,kushiriki na wengine
 
Thankfully wenzetu wanatoka huko, which means its possible oneday kuachana na haya matakataka.
Europe, USA, Russia, China wanaachana na huu upuuzi. Tumebaki watawaliwa tu Middle East na Africa ndo tunapambana nao sikuhizi.
Wamepitia hayo yote na sasa wako kwenye age ya enlightenment hizo piramid schemes za kitapeli za dini walishaachana nazo kitambo , zimebaki huku Africa Kwa misukule kwenye dark ages
 
Tayari umeharibikiwa kwa kiwango kikubwa,Mungu yupo Ila Ni wapumbavu tuu peke yao ndio hukataa uwepo wake
Nimemtafuta Mungu kuliko wewe uliyeaminishwa kirahisi na ukaamini tu blindly.
Nimesoma vutabu vyote, nimesali dini na madhebu karibia yote nimetumia nguvu kubwa sana.
Nikaja kugundua nafukuzia upepo unaenda wapi.
 
Nimemtafuta Mungu kuliko wewe uliyeaminishwa kirahisi na ukaamini tu blindly.
Nimesoma vutabu vyote, nimesali dini na madhebu karibia yote nimetumia nguvu kubwa sana.
Nikaja kugundua nafukuzia upepo unaenda wapi.
Ww Umesoma Ujaelew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…