whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,904
- 9,342
Akifika miaka 18+ hata akitaka kusomea uchawi ni yeye tu, mimi jukumu langu ni kihakikisha hapati shida ya chakula na mavazi mpaka atakapoweza kujitegemea.Mtoto ako akikwambia baba me sitak kwenda shule kwa sabb yote ni ukoloni na yametengezwa/yameletwa na binadamu utachukua uamuzi gani?
Swala sio shurti ila kwa kuwa upo kwenye mamlaka yake lazima utii ila ukiwa nje ya kwakwe uko free kufanya unavyojisikiw yeye anaweza kukushauri tu.Wewe unaona swala la kusali linatakiwa liwe shurti? Yani sheria?
Yani ulazimishwe kusali? Ulazimishwe kutoa sadaka? Ulazimishwe kusikiliza mahubiri?
Hata kama huyaamini?
Em weka hisia pembeni za uzazi na utii...fikiria philosophically au basi ukishindwa hata theologically imekaaje?
Hilo swali lipo juu sana ya ufahamu wako. Nikuombe ujiweke sana mbali na yeyote anayekupa mawazo ya kwamba Mungu hayupo.Ndio, kwa majina naitwa whiteskunk
Okay, kuna nchi za dini kama Saudi Arabia.Ukienda Rumi ishi kama Warumi, siku ukiwa na kwako basi ishi kwa kanuni zako.
Familia zingine kila jmosi wote shambani
Ndoa sio lazima.Unategemea kufunga ndoa ya aina gani? usije ukaanza kumsumbua mama akakuombee kwa viongozi wa kanisa
Basi ww unazumgumza tu. Hayo unayoyasema hapa unayasema kwa sabb ni hapa. Subili uwe mzazi kamili utaelewa nin maan ya kuitwa baba au mama.Akifika miaka 18+ hata akitaka kusomea uchawi ni yeye tu, mimi jukumu langu ni kihakikisha hapati shida ya chakula na mavazi mpaka atakapoweza kujitegemea.
Ndo nakuambia tenga dakika 5 tu, toka nje angalia nyota, fikiria kwa makini ukiwa umefungua ubongo. Naamini utarudi kuwa atheist. Karibu sana.Hilo swali lipo juu sana ya ufahamu wako. Nikuombe ujiweke sana mbali na yeyote anayekupa mawazo ya kwamba Mungu hayupo.
Utambue na kufahanu imani yeyote chanzo chake kusikia au kuelekezwa. Imani sio nadharia imani ni ufahamu halisi.
Tafuta sana kujijua wewe ni nani sivyo utateseka sana ndugu yangu
Ni wewe au dini yako ndio inasema hayo?Wewe ndiye huna Uelewa.
Mama yako anauelewa ndio maana alikusomesha, sasa anashangaa mwanaye kasomea ujinga.
Kwann sijitambui? Usipoamini ukristo hujitambui na hujielewi? Vipi kuhusu waislam? Wote hawajitambui na hawajielewi?Anakusukumia kanisani ukaokotane na wanaume uolewe.
Ameshakuona na hio miaka hujitambui hujielewi.
Karibu sana kuwa atheistBasi ww unazumgumza tu. Hayo unayoyasema hapa unayasema kwa sabb ni hapa. Subili uwe mzazi kamili utaelewa nin maan ya kuitwa baba au mama.
utoto unakusumbua, ukikua utaacha tu. π π π πVingine vyote nafata. ila hii ishu ni ya kiimani zaidi hauoni tofauti?
Sasa kila dini ina muumba wake, huku ni Allah asiyezaa wala kuzaliwa kule ni yesu aliyezaliwa huku ni Budha kule ni Krishna.Kapange ili ujipangie cha kufanya, unachopinga hapa wala hakina msingi. Dini ni majina tu ya kutofautisha kati ya zote zilizopo ila Imani ndiyo yampasa mtu kuwa nayo na kuendana na kile ambacho muumba katuhusia.
Ni wewe au dini yako ndio inasema hayo?
Em ivue dini yako kwenye ubongo wako hata kwa sekunde 2 tu. Halafu uje tujadili hapa kisomi.
Karibu sana kua TheistKaribu sana kuwa atheist
Charity begins at home, Wewe una degree ya wapi?Hapo tu ukute una degree ya sautπ€
Karibu sana kua TheistKaribu sana kuwa atheist
Unaishi chini ya paa lake, ama fuata mwongozo wake au kajitegemee hatokusumbua.Okay, kuna nchi za dini kama Saudi Arabia.
Kule kupractise ukristo ni kosa la kufungwa jela.
Lakini hawalazimishi mtu kuwa muislam.
Kuna tofauti kati ya kukataza watu kupractise dini tofauti na uislam na kulazimisha watu wapractise uislam.
Ikitokea nchi ambayo inalazimisha raia wake wawe wa dini fulani, hiyo nchi itapigwa vita vikali.
Sheria zingine zote sawa, ila kulazimisha mtu kuamini jambo fulani tena la kidini...I think it is against even human rights.
VumiliaInategemea na utamaduni wenu.
Mimi hapa nikienda kujitegemea naonekana muhuni, naonekana nafanya hivyo ili nipate uhuru wa wanaume.
Na sio kwamba sina kazi. Ninafanya kazi ila sina ajira.
Umezidi ujuaji...punguza ujuaji ...lolCharity begins at home, Wewe una degree ya wapi?