Drat
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,160
- 1,359
Unaweza kuvuka salama wewe ila wanao wakawa na changamoto🤗.We share the same case study asie mimi sikuta ujinga nilikata utumwa wa fikra na maendeleo yangu ni mazuri kuliko awali.
uko sahihi kikubwa ni kuwa na amani ya moyo inner peace,mimi nawaambiaga kwa mifano mbona mababu zetu hawakuwa na dini na waliishi vizuri na kuwa na maadili ya juu kuliko zama hizi za dini na maadili mabovu.
Bora uende sometimes kutimiza hata connection za normalities. Siku ukifa halafu watu wakaamua kufunika tu wakasepa familia yako itajiskia vibaya sana. Au ukifiwa na mwanao watu wanashindwa process, hadi inabidi ndugu zako wa kanisani au msikitini watu wawadhamini tu ili kudumisha mahusiano. Dini zinasaidia kudumisha mahusiano kati ya wanadamu mkuu apart from spiritual matter.