Mzazi unasomesha mtoto aje kuuza chips na kuwa bodaboda. Inahuzunisha sana!

Nashukuru kwa maelezo ya kitafiti za kisayansi. Nitakuja na dona kulia VIBANZI, Nitaomba poa na SHARUBATI Lita moja.

Wapi ofisi yako ilipo?
 
Kuamini au kutoamini si muhimu.

Kwa sababu unaweza kutoamini ukweli, na ukaamini uongo.

Kitu cha muhimu ni, ukweli ni nini, na uongo ni nini, bila kujali unaamini nini.

Tunaweza kukubaliana hapo kwanza?
Yes tunakubaliana hapa, je kutoamini kwamba kuna nguvu ya Mungu katika maisha ya binadamu ni sawa?
 
Unaongea kweli???

Ferry-Dar es salaam, ukishuka kwenye pantoni zilizochokachoka upande wa kushoto, utaona vitafunwa vimejazwa mezani:
Siyo mmiliki ila nimekujuza tu.
Sasa umejuaje kama wewe sio mhusika?. Faida hupatikana baada ya matumiz na malipo yote kuwekwa kando.

By the way! Good testimonial
 
Now days zama zimebadilika yaan saiv bila connection kutoboa ni ngumu labda bahati iwe upande wako cha muhimu nikutokukata tamaa na pia kujaribu vitu mbalimbali mfano unaweza kuwa na taalum maybe ya ualimu bt hupat nafasi jaribu kitu kingine ufugaji kilimo nk kuna dhana nyingi siku hizi wahitimu wengi wanayo akishamaliza tu anajitolea sehem hata kama hapati maslahi mm kwaupande wangu naona nikuendelea kupoteza mda tu
 
Kuamini au kutoamini si muhimu.

Kwa sababu unaweza kutoamini ukweli, na ukaamini uongo.

Kitu cha muhimu ni, ukweli ni nini, na uongo ni nini, bila kujali unaamini nini.

Tunaweza kukubaliana hapo kwanza?
Mkuu Kiranga
Samahani naomba unitag au link ya ule Uzi WA Buddhism.

Nataka nisome upya zile 8 folds of perfections
 
Tunawapeleka English medium sio Kwa sababu watapata kaz nzuri Ila Kwa sababu wasome kwenye mazingira mazuri na pia wajifunze Kwa namna Ile inavyopaswa kusoma.

Imagine Kwa sababu hatapata Kazi nzuri nampeleka binti yangu taifa sec form four wapo Kama buku.

Anarudi home SAA 3 usiku baada ya kupambana na madaladala na wahuni WA mtaani....

Anyway kikubwa tuu ni kupambana kuweka uchumi Sawa kuweza kuwasomesha vzr na kuwaandalia maisha mazuri ikiwemo biashara endelevu.


Shida na huu ugumu WA maisha subsistence life tuliyo Rithi hazitusaidii kuwa na kipato cha ziada ili kuwekeza uwekezaji endelevu WA vizazi paka vizazi
 
Assurance ya kipato.......hii ndio comfort zone inayowaumiza wengi.
Umeongea point ya KUJIELEWA, hapo ndipo mzizi wa shida zote. Hata huku kwenye biashara ndogo ndogo mtu anatakiwa ajielewe. Otherswise unakufa masikini au unadumbukia kwenye mikopo, mishahara haikutani kila mwezi.......
KUJIELEWA unaweza kuanza kama machinga ukawa vunja bei. Nadhani hoja iwe hivyo, kila mtu ajielewe.
 
Accessibility
Muajiriwa anauelipwa hio 700K anaweza kumiliki vibanda km hivyo zaidi ya vitano ila wewe mzee mchoma chips sio rahisi kuwa Muajiriwa wa mshahara wa 700K

Reputation
Muajiriwa wa 700K muda wote msafi rahisi kuji Address kwa watu na kutambulisha always he/she is presentable na anaheshimika ila wewe mchoma chips huna yote haya.

Workdone
Muajiriwa wa 700K anaingia kazini morning na kutoka saa 8 na pia jumamosi na jumapili harndi job, ila wewe mchoma chips unafungua morning hadi saa 4 usiku na huna weekend....Pia Muajiriwa anafanya soft works most of time ana relax job ila mchoma chips uamke 11 uende sokoni kubeba gunia za viazi, mkaa nk ukate gunia la viazi, ukaange siku mzima jikoni "nataka rojorojo" "nataka kavu ikaushe" this is hell.

Risk And Security
Muajiriwa wa 700K hata uumwe mwezi mzima still you receive your pay, wewe ukiumwa siku moja tu kazi unayo, Muajiriwa ana mafao zaidi ya 60 Millioni baada ya kazi wewe huna chako nk

This life is full of uncertainty ukiwa na Ajira ya 700K kwa asilimia kadhaa financial uncertainty zitapungua kwako ila mchoma chips Mungu ajaalie kwakweli.

Financial Credit
Mfanyakazi wa 700K anaweza kopa zaifi ya 20 Million ajafanya most potential move, ila mchoma chips hata 100K mtu kukukopesha mtiti.

Ni vizuri pia kujifariji kwasababu hakuna namna na haya maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…