Mzazi unasomesha mtoto aje kuuza chips na kuwa bodaboda. Inahuzunisha sana!

Mzazi unasomesha mtoto aje kuuza chips na kuwa bodaboda. Inahuzunisha sana!

Chips siyo chakula, sema "kibanda kipo wapi nije kutafuna vibanzi?"

Chips=Kibanzi
Chips siyo chakula, ni junk- kitafunwa.
Kama wewe ni mwanaume na unakula kama chakula ujue ukipiga paip utakuwa unatoa hewa tu lakini pia huwezi mfikisha Gilmans point.
Nashukuru kwa maelezo ya kitafiti za kisayansi. Nitakuja na dona kulia VIBANZI, Nitaomba poa na SHARUBATI Lita moja.

Wapi ofisi yako ilipo?
 
Kuamini au kutoamini si muhimu.

Kwa sababu unaweza kutoamini ukweli, na ukaamini uongo.

Kitu cha muhimu ni, ukweli ni nini, na uongo ni nini, bila kujali unaamini nini.

Tunaweza kukubaliana hapo kwanza?
Yes tunakubaliana hapa, je kutoamini kwamba kuna nguvu ya Mungu katika maisha ya binadamu ni sawa?
 
Unaongea kweli???

Ferry-Dar es salaam, ukishuka kwenye pantoni zilizochokachoka upande wa kushoto, utaona vitafunwa vimejazwa mezani:
Siyo mmiliki ila nimekujuza tu.
Sasa umejuaje kama wewe sio mhusika?. Faida hupatikana baada ya matumiz na malipo yote kuwekwa kando.

By the way! Good testimonial
 
Inahuzunisha sana kuona kazi wafanyazo watoto waliosomeshwa kwa gharama wakiwa bodaboda na wachoma chips.

Mzazi kugharamia masomo ya mwanao ili aje kuwa mpambaniaji wa kazi hizo na za namna hiyo au kutokuja kuwa na future yoyote mtaani inaleta huzuni kwa mtoto mwenyewe hata kwa mzazi pia.

Wanasiasa hawafanyi ujinga huu kamwe wao na kizazi chao wanaandaliana future bora watoto wao. Hakuna mwanasiasa hata mmoja ataruhusu mwanae awe boda boda au mchoma chipsi wala kutanga tanga mtaani hovyo bila future yoyote ile.

Mzazi jukumu lako lisiishie kuzaa na kupeleka mtoto shule pekee bali muandalie na future bora mtoto wako.
Now days zama zimebadilika yaan saiv bila connection kutoboa ni ngumu labda bahati iwe upande wako cha muhimu nikutokukata tamaa na pia kujaribu vitu mbalimbali mfano unaweza kuwa na taalum maybe ya ualimu bt hupat nafasi jaribu kitu kingine ufugaji kilimo nk kuna dhana nyingi siku hizi wahitimu wengi wanayo akishamaliza tu anajitolea sehem hata kama hapati maslahi mm kwaupande wangu naona nikuendelea kupoteza mda tu
 
Kuamini au kutoamini si muhimu.

Kwa sababu unaweza kutoamini ukweli, na ukaamini uongo.

Kitu cha muhimu ni, ukweli ni nini, na uongo ni nini, bila kujali unaamini nini.

Tunaweza kukubaliana hapo kwanza?
Mkuu Kiranga
Samahani naomba unitag au link ya ule Uzi WA Buddhism.

Nataka nisome upya zile 8 folds of perfections
 
Mzazi aandae vipi future wakati yeye mwenyewe nanga inapaa?

Anachoweza ni kupambania mtoto asome, akimaliza shule ajipambanie.

Ila kwa namna moja naona wazo lako la kutotumia magharama makubwa kusomesha linamake sense, coz asome shule za kawaida au English medium, akimaliza chuo kama huna connection anaishia pale pale.
Tunawapeleka English medium sio Kwa sababu watapata kaz nzuri Ila Kwa sababu wasome kwenye mazingira mazuri na pia wajifunze Kwa namna Ile inavyopaswa kusoma.

Imagine Kwa sababu hatapata Kazi nzuri nampeleka binti yangu taifa sec form four wapo Kama buku.

Anarudi home SAA 3 usiku baada ya kupambana na madaladala na wahuni WA mtaani....

Anyway kikubwa tuu ni kupambana kuweka uchumi Sawa kuweza kuwasomesha vzr na kuwaandalia maisha mazuri ikiwemo biashara endelevu.


Shida na huu ugumu WA maisha subsistence life tuliyo Rithi hazitusaidii kuwa na kipato cha ziada ili kuwekeza uwekezaji endelevu WA vizazi paka vizazi
 
Upeo wako mdogo. Iko hivi umetoa wazo vizur ila kulilia kuajiriwa sio kwamba title na kuridhika na salary ya 750. Kuajiriwa kwa masikini ni assuarance ya kipato na mtaji.

Maana kitendo chakupata ajira nakuwa na uhakika wakulipwa ni chanzo cha mtaji wakumilik hata hivyo vibanda vya chips 10... Nika wanangu wana maisha sana sababu wanajielewa na wamewekeza sana biashara mbalimbali wana majumba magari lakin yote yametokana na ajira zao
Assurance ya kipato.......hii ndio comfort zone inayowaumiza wengi.
Umeongea point ya KUJIELEWA, hapo ndipo mzizi wa shida zote. Hata huku kwenye biashara ndogo ndogo mtu anatakiwa ajielewe. Otherswise unakufa masikini au unadumbukia kwenye mikopo, mishahara haikutani kila mwezi.......
KUJIELEWA unaweza kuanza kama machinga ukawa vunja bei. Nadhani hoja iwe hivyo, kila mtu ajielewe.
 
Mwanangu unajua kijiwe cha chipsi kina pesa chafu?
Watu tunalaza 80,000 mpaka 100,000 after all expenditures daily we unachukulia poa chipsi.?
Najua kuna chipsi vibanda haviingizi hiyo hela, sawa. Lakini nanyi huko kazini si wote mnaingiza hela nzuri. Wengine wana degree tangu mwaka 2015 waajiriwe kwa mshahara wa 750,000 mpaka leo hii hawajapata nyongeza. Sijui ndio Samia mwaka jana kaongeza kidogo.
Sema wabongo mmekariri kila aliyepita shule lazima aajiriwe hata kama analipwa kiduchu ili tu mzazi afurahi kuona mwanawe yuko kwenye payroll na akisimama kujitambulisha aseme nafanya kazi sehemu fulani ilihali ni kapuku.
Cha msingi maokoto, nunua kigari chako, jenga nyumba huko Kibamba.
Shida mkiona mtu ana gari mnawaza anafanya kazi wapi? Ushawahi kufikiria mtu amejiajiri?
Accessibility
Muajiriwa anauelipwa hio 700K anaweza kumiliki vibanda km hivyo zaidi ya vitano ila wewe mzee mchoma chips sio rahisi kuwa Muajiriwa wa mshahara wa 700K

Reputation
Muajiriwa wa 700K muda wote msafi rahisi kuji Address kwa watu na kutambulisha always he/she is presentable na anaheshimika ila wewe mchoma chips huna yote haya.

Workdone
Muajiriwa wa 700K anaingia kazini morning na kutoka saa 8 na pia jumamosi na jumapili harndi job, ila wewe mchoma chips unafungua morning hadi saa 4 usiku na huna weekend....Pia Muajiriwa anafanya soft works most of time ana relax job ila mchoma chips uamke 11 uende sokoni kubeba gunia za viazi, mkaa nk ukate gunia la viazi, ukaange siku mzima jikoni "nataka rojorojo" "nataka kavu ikaushe" this is hell.

Risk And Security
Muajiriwa wa 700K hata uumwe mwezi mzima still you receive your pay, wewe ukiumwa siku moja tu kazi unayo, Muajiriwa ana mafao zaidi ya 60 Millioni baada ya kazi wewe huna chako nk

This life is full of uncertainty ukiwa na Ajira ya 700K kwa asilimia kadhaa financial uncertainty zitapungua kwako ila mchoma chips Mungu ajaalie kwakweli.

Financial Credit
Mfanyakazi wa 700K anaweza kopa zaifi ya 20 Million ajafanya most potential move, ila mchoma chips hata 100K mtu kukukopesha mtiti.

Ni vizuri pia kujifariji kwasababu hakuna namna na haya maisha.
 
Bado Elimu ni kitu muhimu Sana katika maisha
Screenshot_20231128-104041.png
 
Back
Top Bottom