Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 5,962
- 17,648
Chai naamini wewe sio mzee wa physics...... warkdone ndo nini??Kwa sisi wazee wa Physics tunasema the warkdone is equal to zero.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chai naamini wewe sio mzee wa physics...... warkdone ndo nini??Kwa sisi wazee wa Physics tunasema the warkdone is equal to zero.
Point tupu_mambo kwa ground ni moto balaaFanya uzae watoto wa wastani ,halafu focus san kweny kutafuta maisha na pia kama watoto umewazaa basi hakikisha wanaishi vizuri.
Mambo kwa ground sio mazuri.
Hivi wewe sindo uncle fujo au nimekosea??Kipato 150,000 kwa mwezi
Idadi ya watoto ni 5
Kuna tofauti kubwa sana kwa huduma atakazopata mtoto mmoja kwa 150,000 kuliko watoto 5 kwa pesa hiyo hiyo.
Nani hajui hili?
Tunajua sana,
Tunajua vyema kabisa maisha ni magumu, kila mtu ameshatamka hili, lakini atabebeshana mimba na kuzaliana kwa wingi.
Elimu inatakiwa iwafikie watu kwa wingi, uzazi usio wa mpango ni janga na kichocheo kikubwa cha umaskini.
Hapana mkuu, huyo naona ameiga tu jina, hii iD kongwe kidogo.Hivi wewe sindo uncle fujo au nimekosea??
Ooh,sawa mkuuHapana mkuu, huyo naona ameiga tu jina, hii iD kongwe kidogo.
App gani hii nisaidie kama utaweza mimi nimpenzi wa kusoma vitabu, majarida na makala natafuta app nzuri kwa ajili ya kusoma mbadala na hii niliyo nayo sasa.
Naomba utume screenshot inafananajeHii inaitwa pocke book ni App ya kusomea vitabu mkuu
Naomba utume screenshot inafananaje
Mnataka Lecturers wale wapi?[emoji848]HIli wazo ni bora zaidi kuliko kupoteza millions wakati kazi hakuna
Heshima kwetu sote mkuu.
Elimu inapokuwa mbovu hakuna umuhimu wa shule tena. Elimu yetu ni mbovu sana.Nilishauri juzi tu hapa kwamba shule zote nchini zifungwe.
Tusipotezeane muda.
Malalamiko kila kona, mpaka Nay wa Mitego amekiri hili.Nilishauri juzi tu hapa kwamba shule zote nchini zifungwe.
Tusipotezeane muda.
Wewe unadhani ni nini?Elimu bora ni nini?
Iwapo wauza chipsi na bodaboda wote wataamua leo hii kuacha hizo kazi, trust me tutatamani warejee. Kila mmoja ana umuhimu wakeInahuzunisha sana kuona kazi wafanyazo watoto waliosomeshwa kwa gharama wakiwa bodaboda na wachoma chips.
Mzazi kugharamia masomo ya mwanao ili aje kuwa mpambaniaji wa kazi hizo na za namna hiyo au kutokuja kuwa na future yoyote mtaani inaleta huzuni kwa mtoto mwenyewe hata kwa mzazi pia.
Wanasiasa hawafanyi ujinga huu kamwe wao na kizazi chao wanaandaliana future bora watoto wao. Hakuna mwanasiasa hata mmoja ataruhusu mwanae awe boda boda au mchoma chipsi wala kutanga tanga mtaani hovyo bila future yoyote ile.
Mzazi jukumu lako lisiishie kuzaa na kupeleka mtoto shule pekee bali muandalie na future bora mtoto wako.
[IMG alt="lukesam"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/275/275627.jpg?1500562796[/IMG]
lukesam
JF-Expert Member
Inawezekana wazee wetu walishakosea huko nyuma ila sasa ni muda wa kujisahihisha na kuwa bora kuliko wao.
- "Hatuwezi kuwa matajiri wote kama Bakhresa lakini ni vizuri sisi watu weusi tukajifunza kwao na jamii nyingine kama za wahindi.
Wazazi wa kiafrika wana tabia za kichoyo na kibinafsi, hata akiwa na duka lake hataki mtoto wake auze au ajue jinsi ya kuendesha biashara, anaogopa kuibiwa hata kijana wake hamuamini.
Watoto wetu wanahangaika sana kutafuta ajira kwasababu walienda shule kusomea taaluma za ndoto zao bila kujua baada ya kumaliza wataenda kufanyia kazi wapi. Tofauti na sisi, hawa wenye asili ya kihindi na matajiri wengine, watoto wao wanaenda shule kusomea taaluma ambazo wanajua wakitoka hapo wataenda kupata ajira kwenye miradi ya familia.
Tuweke nguvu katika kuanzisha miradi ya kifamilia, familia za kitanzania tuache ubinafsi. Ndio maana hata ukimshauri mtu aandike wosia au agawe mali zake akiwa hai anakushangaa, mzee kabisa anataka afe akiwa anamiliki mali zake zote.
Suluhisho la kusomea uhasibu au uchumi na kuishia kuwa muuza chipsi au bodaboda ni kuanzisha miradi ya kifamilia. Binafsi naona hii itapunguza sana tatizo la ajira na hali ya umaskini katika familia zetu.
Inaumiza sana kupoteza miaka mingi shuleni na kuishia kufanya kazi ambazo hata hazihitaji elimu".