Mzee ambaye ni informer wa Lissu ambaye kumfata kwake ni safari ya siku mbili kwa gari, na siku moja kwa ndege ni yule Mzee wa Bunda?

Mwacheni Mzee Warioba kumlisha matango pori.
 
Huyo mzee ndio wakimgusa ndio wamedondoka moja kwa moja
 
..kama mtonyaji anazuia jinai isitendeke dhidi ya Lissu na wanaharakati basi huyo ni mtu mwema.
 
Ahahahahaha!! Wakili msomi mwenzake nini!? Ahahahahaha!! Waswahili hujuana kwa viremba!! Ahahahahaha!!!
 

..mtonyaji ni Eng.Mas...

..ndio maana wamempeleka eneo lingine lisilokuwa na siri zao.
 
Kwamba unene ni bonge la deal?
 
Kumbe hujui mambo mengi 😂
 
Watu msiojulikana naona mkitajwa mnapanick vibaya.
 
Kama Lissu kasema hivyo kumbe bado ni mshamba mkubwa kisiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…