Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
umeanza kunitukana sio?Ukiwa na uchungu na hii nchi huwezi kuwa na jimwili la ajabu ajabu kama duara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeanza kunitukana sio?Ukiwa na uchungu na hii nchi huwezi kuwa na jimwili la ajabu ajabu kama duara
umeanza kunitukana sio?
UWT mpo hoiBAVICHA, BAWACHA na BAZECHA, hii ya mwisho "CHA" ni kifupi cha neno "CHAWA"
Devu kama Chuchunge !Ccm wakidemka na mirindimo ya lissuView attachment 3178803
Ukizingatia Lissu ni mjanja wa codesInawezekana asiwe mbali kiasi hicho ila ikawa ni namna yakuficha code ili asifahamike kiurahisi..
Mwacheni Mzee Warioba kumlisha matango pori.Tundu Antipas Mugway Lissu anasema kwamba kuna mtu mkubwa serikalini ambaye humpa siri mbalimbali kwa kupitia Mzee mmoja ambaye kusafiri kwenda kwake inachukua siku mbili kwa gari, na siku moja kwa ndege, ni wazi kwamba katika safari ndefu nchini, moja wapo ni ya kwenda mkoa wa Mara, na utapita Wilaya ya Bunda.
Mtu ambaye amekuwa akitoa milio kama ya Lissu kwa siku za karibuni, anatokea huko huko.
Connect dots utapata jibu na ni anamlisha Lissu taarifa za uchonganishi, japo kwa umri wake alitakiwa awe na busara na hekima. Na ukiwa na shughuli za hivyo unene utausikia tu.
Hivi huyu mwanamke?Mwanamke mfitini wewe
Ahahahahaha!! Wakili msomi mwenzake nini!? Ahahahahaha!! Waswahili hujuana kwa viremba!! Ahahahahaha!!!Tundu Antipas Mugway Lissu anasema kwamba kuna mtu mkubwa serikalini ambaye humpa siri mbalimbali kwa kupitia Mzee mmoja ambaye kusafiri kwenda kwake inachukua siku mbili kwa gari, na siku moja kwa ndege, ni wazi kwamba katika safari ndefu nchini, moja wapo ni ya kwenda mkoa wa Mara, na utapita Wilaya ya Bunda.
Mtu ambaye amekuwa akitoa milio kama ya Lissu kwa siku za karibuni, anatokea huko huko.
Connect dots utapata jibu na ni anamlisha Lissu taarifa za uchonganishi, japo kwa umri wake alitakiwa awe na busara na hekima. Na ukiwa na shughuli za hivyo unene utausikia tu.
Tundu Antipas Mugway Lissu anasema kwamba kuna mtu mkubwa serikalini ambaye humpa siri mbalimbali kwa kupitia Mzee mmoja ambaye kusafiri kwenda kwake inachukua siku mbili kwa gari, na siku moja kwa ndege, ni wazi kwamba katika safari ndefu nchini, moja wapo ni ya kwenda mkoa wa Mara, na utapita Wilaya ya Bunda.
Mtu ambaye amekuwa akitoa milio kama ya Lissu kwa siku za karibuni, anatokea huko huko.
Connect dots utapata jibu na ni anamlisha Lissu taarifa za uchonganishi, japo kwa umri wake alitakiwa awe na busara na hekima. Na ukiwa na shughuli za hivyo unene utausikia tu.
Lisu kitu hana ni kifua… Ana vitabia vya umbea na kuropokaLissu asifafanue saaana sources zake.
Ni risk sana kuanika assets wako, inqmfanya adui wako awe alert na ku change njia za kukudhuruLissu asifafanue saaana sources zake.
Kwamba unene ni bonge la deal?Tundu Antipas Mugway Lissu anasema kwamba kuna mtu mkubwa serikalini ambaye humpa siri mbalimbali kwa kupitia Mzee mmoja ambaye kusafiri kwenda kwake inachukua siku mbili kwa gari, na siku moja kwa ndege, ni wazi kwamba katika safari ndefu nchini, moja wapo ni ya kwenda mkoa wa Mara, na utapita Wilaya ya Bunda.
Mtu ambaye amekuwa akitoa milio kama ya Lissu kwa siku za karibuni, anatokea huko huko.
Connect dots utapata jibu na ni anamlisha Lissu taarifa za uchonganishi, japo kwa umri wake alitakiwa awe na busara na hekima. Na ukiwa na shughuli za hivyo unene utausikia tu.
Kumbe hujui mambo mengi 😂Tundu Antipas Mugway Lissu anasema kwamba kuna mtu mkubwa serikalini ambaye humpa siri mbalimbali kwa kupitia Mzee mmoja ambaye kusafiri kwenda kwake inachukua siku mbili kwa gari, na siku moja kwa ndege, ni wazi kwamba katika safari ndefu nchini, moja wapo ni ya kwenda mkoa wa Mara, na utapita Wilaya ya Bunda.
Mtu ambaye amekuwa akitoa milio kama ya Lissu kwa siku za karibuni, anatokea huko huko.
Connect dots utapata jibu na ni anamlisha Lissu taarifa za uchonganishi, japo kwa umri wake alitakiwa awe na busara na hekima. Na ukiwa na shughuli za hivyo unene utausikia tu.
Watu msiojulikana naona mkitajwa mnapanick vibaya.Tundu Antipas Mugway Lissu anasema kwamba kuna mtu mkubwa serikalini ambaye humpa siri mbalimbali kwa kupitia Mzee mmoja ambaye kusafiri kwenda kwake inachukua siku mbili kwa gari, na siku moja kwa ndege, ni wazi kwamba katika safari ndefu nchini, moja wapo ni ya kwenda mkoa wa Mara, na utapita Wilaya ya Bunda.