Mzee Butiku: Hili la Rais kutoka au kutotoka ni la utaratibu

Taratibu wanaweka mambo sawa,Ili jiwe atawale mpaka afe,
Kama hizo pesa za kuendesha uchaguzi kila baada ya miaka mitano,zitakuwa zinatumika kulipa mikopo ya Elimu ya juu,na kuwawezesha vijana wetu wapate ajira,poa tu,wacha akae tu mpaka afe,aingie mwingine,
Tatizo kwa hapa Afrika/bongo hoja sio kukaa muda mrefu ,hoja anakaa Ili afanye nini!??maana Hawa viongozi wetu hawana maono kabisa,hawafati ushauri wa wataalamu,tuige mfumo wa China,Urusi,
 
Ana Uwezo wa kufanya lolote wakati wowot

Uwepo wa hizo assassination attempts unahalalisha matukio yenyewe ??

Aisee, Yaani ni kama mmerogwa vile. No wonder, siku ya leo kama Jumapili mnapiga magoti altareni mbele ya makamera ili kuonesha umma jinsi mlivyo wacha Mungu.
 
Kwa hiyo turudishe umalkia
 

The moves are calculated!
 
Yote tumekubali lakini hili wasirogwe.
Hehehehehe, Wakenya huwa wanauliza, uta-do?

Unapokubali kuporwa kitu kidogo, uwe na uhakika ipo siku watachukua kikubwa.

Walipora haki ya kupata habari (bunge live) tulikaa kimya

Wakasema marufuku mikutano ya siasa na maandamano tulikaa kimya

Wamevuruga uchaguzi 2020 tulikaa kimya.

Nini tutafanya wakiamua Magufuli aendelee? Nothing nothing
 
Uwepo wa hizo assassination attempts unahalalisha matukio yenyewe ??

Aisee, Yaani ni kama mmerogwa vile. No wonder, siku ya leo kama Jumapili mnapiga magoti altareni mbele ya makamera ili kuonesha umma jinsi mlivyo wacha Mungu.

Uhalifu hahuhitaji uhalali wowote. Anayejali sheria ni law-abiding citizen. Assassins don’t care about anything other than hitting their target!
 
Unapofananisha urais wa Tanzania na nafasi ya malkia Uingereza ambayo ni Monarch unadhani ni vitu sawa vya kulinganisha?

Pia unalofananisha urais wa Tz na chancellor wa Ujerumani si sawa. Ujerumani kuna Rais ambaye ana term limit kbs ya 5 yrs na maximum ni two terms. Chancellot ni headnof gvt na anakuwa nominated na President. Ni mifumo miwili tofauti kbs.


Kwa hili ninaamnini kbs kuwa kuna agenda imeandaliwa na sisi wengine tunapitishwa kwenye agenda ili kuitimiza bila ridhaa yetu.

Maana sasa kuna dhana mpya ya "atake au asitake". Hata Naibu spika naye anazungumzia hoja hii kwa misingi ya "Rasi hataki". Hapa hoja sio kutaka au kutotaka kwa Rais. Hoja ni mifumo iliyopo ya kuongoza hasa katiba. Jibu ni hairuhusu. Kama ibadilishwe, ni Kwanini ibadilishwe? Na kwanini sasa?
 

Na kwa upu.mbavu wetu, tulio wengi, ataendelea kuisigina katiba, huku tukimshangilia! Kama ni kulogwa tumelogwa tukalogeka, na mlozi katangulia mbele ya haki!
 


Tears of an oppressed never go in vain. God never punishes a culprit unless the latter "exceeds" in wrong doings.

We leave our case to God.
 
Yote tumekubali lakini hili wasirogwe.
Akiamua utafanya nini mkuu?
Na kwa uwoga waliopandikizwa watanzania tayari unadhani Kuna atakayejaribu kufungua mdomo?
 
Alianza
Juma Nkamia Akaja Ally Kessy, Sasa Hivi Mzee Naye Anapiga Upcut Chembe Kidevu.
Mipango Mipango Siyo Bure Hili Jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…